Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa mwaka mmoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League

Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa mwaka mmoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati klabu hiyo ikiwa chini ya umiliki wa Roman Abramovich.

1773670500422.png
Adhabu hiyo pia inajumuisha marufuku ya miezi tisa kwa klabu hiyo kusajili wachezaji wa akademi, baada ya uchunguzi uliofanywa kuhusu malipo ya siri yaliyodaiwa kufanyika kati ya mwaka 2011 na 2018.

Uchunguzi huo ulianzishwa na Premier League baada ya wamiliki wapya wa Chelsea F.C. kuripoti wenyewe taarifa za malipo hayo ya siri yaliyodaiwa kufanywa katika kipindi cha uongozi wa zamani.

1773670581893.png
=====

Chelsea issued a suspended one-year transfer ban, fined £10.75m by Premier League

The league have been investigating secret payments made by Chelsea between 2011 and 2018, which were self-reported by the new owners.

Chelsea have been handed a suspended one-year ban from signing first-team players, a nine-month ban from registering academy players and given a £10million fine from the Premier League relating to breaches of financial rules during Roman Abramovich's time as owner.

Source: Sky Sports
 
Back
Top Bottom