Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,397
- 3,492
Weeee sema kweli
Marehem alikuwa na mdomo sanaaa🤣🤣🤣🤣 Fulham wakazee aseeeChelsea kashakufa huko 1-0 mpaka HT
Fulham 1-0 Chelsea
HT
ni mapumzikoBaada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3.
Mwana anatuzoom tu anangojea comeback aje atucheke
Hakuna comeback hapo washaukalia Fulham anapaki bus mwanzo mwishoMwana anatuzoom tu anangojea comeback aje atucheke
Hatimae Chelsea kafa kwa 1-0 hadi HT emu tusubiri mpira uishe tuone magumu yataendelea au itakuajeFulham atakufa goli 3
Haipingwiii🤣🤣🤣🤣FT. Chelsea 0-2 Fulham
Mkuu unamaanisha it's time for portable au?its time for Potter Ball
Chelsea kachomoaHaipingwiii🤣🤣🤣🤣