Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Four Premier League goals in three games for Diego Costa. It took Fernando Torres 39 games to score four PL goals for the Blues...
 
asante sana chelsea kamwe sijutii kuwa fan wako nimekua na wewe kwenye milima na mabonde ...daima tupo pamoja....@#TRUEBLUES
 
ila leo cjapenda jinsi willian alivyocheza/ alikuwa chini ya kiwango kabisa. next match ule upande ataanza drogba au salah mambo yatanoga sn
 
THANK YOU CHELSEA

KAMA NILIVYOSEMA KWAMBA LEO TUNGESHINDA ZAIDI YA MAGOLI 2 IMETIMIA KABISA.
DIEGO COSTA IS BETTER THAN SANCHEZ OF ARSENAL.

CC.Mentor, Ntuzu, viol, all chelsea fans.
2012 U.E.F.A. CHAMPIONS LEAGUE WINNERS!!!!










The Chelsea players celebrate after the win



​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…