Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pia ni timu pekee kutoa PREMIER LEAGUE[UINGEREZA]; iliyowahi kuchukua mataji matatu makubwa ya ULAYA.


You are joking dude, right???

Check out below....

 

inaelekea chese umeanza kuijua juzi enh?
 
Pia ni timu pekee kutoa PREMIER LEAGUE[UINGEREZA]; iliyowahi kuchukua mataji matatu makubwa ya ULAYA.


naamini una akili timamu na mchezo wa soka una ufahamu nao hivyo weka vizuri rekodi zako,usijitoe fahamu mkuu...
 
Mkuu mimi huwa sikurupuki, na kama ikitokea nimeteleza hapa jamvini huwa ni katika mambo madogo madogo tu..siwezi kuleta jambo la uongo hapa:

CHELSEA FC ni timu pekee ya Uingereza kuchukua makombe yote makubwa yanayoandaliwa/yaliyoandaliwa na UEFA.
1.champions league. 2012.
2.UEFA europa league.2013.
3.Cup Winners Cup. 1998,1971.
4.UEFA Super Cup.1998


Je, wewe mwenzangu unaifahamu timu gani ambayo imechukua makombe yote hayo? Nisaidie..:cool2:

naamini una akili timamu na mchezo wa soka una ufahamu nao hivyo weka vizuri rekodi zako,usijitoe fahamu mkuu...
 
Chelsea hold the English record for the highest ever points total for a league season (95), the fewest goals conceded during a league season (15), the highest number of Premier League victories in a season (29), the highest number of clean sheets overall in a Premier League season (25) (all set during the 2004–05 season),[SUP][90][/SUP] and the most consecutive clean sheets from the start of a league season (6, set during the 2005–06 season).[SUP][91][/SUP] The club's 21–0 aggregate victory over Jeunesse Hautcharage in the UEFA Cup Winners' Cup in 1971 remains a record in European competition.[SUP][92][/SUP] Chelsea hold the record for the longest streak of unbeaten matches at home in the English top-flight, which lasted 86 matches from 20 March 2004 to 26 October 2008. They secured the record on 12 August 2007, beating the previous record of 63 matches unbeaten set by Liverpool between 1978 and 1980.[SUP][93][/SUP][SUP][94][/SUP] Chelsea's streak of eleven consecutive away league wins, set between 5 April 2008 and 6 December 2008, is also a record for the English top flight.[SUP][95][/SUP] Their £50 million purchase of Fernando Torres in January 2011 is the current record transfer fee paid by a British club.[SUP][96][/SUP]
Chelsea, along with Arsenal, were the first club to play with shirt numbers, on 25 August 1928 in their match against Swansea Town.[SUP][97][/SUP] They were the first English side to travel by aeroplane to a domestic away match, when they visited Newcastle United on 19 April 1957,[SUP][98][/SUP] and the first First Division side to play a match on a Sunday, when they faced Stoke City on 27 January 1974. On 26 December 1999, Chelsea became the first British side to field an entirely foreign starting line-up (no British or Irish players) in a Premier League match against Southampton.[SUP][99][/SUP] In May 2007, Chelsea were the first team to win the FA Cup at the new Wembley Stadium, having also been the last to win it at the old Wembley.[SUP][100][/SUP] They were the first English club to be ranked #1 under UEFA's five-year coefficient system in the 21st century.[SUP][101][/SUP] They were the first team in Premier League history to score at least 100 goals in a single season, reaching the milestone on the final day of the 2009–10 season.[SUP][29][/SUP] Chelsea are the only London club to win the UEFA Champions League, after beating Bayern Munich in the 2012 final.[SUP][4][/SUP][SUP][102][/SUP] Upon winning the 2012–13 UEFA Europa League, Chelsea became the first English club to win all four European trophies.
 


Andre Schurrle - Chelsea FC/Germany

Andre Schurrle alifunga magoli 3 kwenye kombe hili la dunia..safi sanaa.bila kusahau kwamba alikuwa anatokea benchi. Ile pasi ya goli la ushindi vs Argentina alitoa yeye.
 


Emboaba Oscar: Kombe la Dunia-2014.
Kafunga magoli=2.
Katoa pasi za mwisho za magoli=2.


Well done Oscar!!:A S thumbs_up:
 
Mkuu chilumendo; hawa jamaa mbona wamekimbia, waje tuwafundishe..
nimeleta data wanakimbia, Dully Jr eeee rudi hapa..:angry:

Hawa jamaa hawaeleweki wanachungulia wanakimbia wakiona tupo hawaingii
 
Andre Schurrle alifunga magoli 3 kwenye kombe hili la dunia..safi sanaa.bila kusahau kwamba alikuwa anatokea benchi. Ile pasi ya goli la ushindi vs Argentina alitoa yeye.

Huyu ni kijana ambaye akisettle vizur pale darajani atakua mwiba mkali kwa timu tutakazokutana nazo
 


Emboaba Oscar: Kombe la Dunia-2014.
Kafunga magoli=2.
Katoa pasi za mwisho za magoli=2.


Well done Oscar!!:A S thumbs_up:

huyu kijana alinifurahisha sana siku walipocheza na wadachi nje ya kufungwa lakini ni mchezaji pekee alitawala dimba upande wa brazil,kama ataperform vile akirud hapa darajani ataisadia sana chese
 
Karibuni Turin,mjichukulie wachezaji mpendao.Conte kaondoka and we are finished!
 
Mkuu juve2012 karibu sana CHELSEA FC THREAD. Nilizungumza na Mourinho[wa Juventus thread] akaniambia wewe ndo mwenyekiti wao kule..
Karibu sana..

Sisi CFC tulitaka kusajili wachezaji lakini bei mliyoweka inatukata maini aisee..hasa bei ya PAUL POGBA.

mambo vipi lakini?




Karibuni Turin,mjichukulie wachezaji mpendao.Conte kaondoka and we are finished!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…