wewe una matatizo makubwa sana; mie sijawahi kumtetea mchezaji yeyote. mie nimesema kila siku hapa jamvini kwamba CHELSEA FC ni kubwa kuliko mchezaji yeyote. acha uongo Sizinga.
Lampard na Terry wanaheshimiwa sana; na wataendelea kuheshimiwa. Huo ndo utamaduni wa Chelsea.🙂
Huo Ukweli nyie hamtaki kuukubali...ila nawaambia kwamba #Fans wa #Chelsea ndo waliforce kumbakiza Lampad!! These ChelseaFans are so strong mpaka #AbroMapesa akawakubalia. Otherwise ingekua ni nguvu ya bosi tu ...Agh tangu 2012 Lampad alikuwa hana chake!!Acha unafiki sizinga.
Si lampard wala Cole wala drogba ALIEFUKUZWA Chelsea.
Sera ya Club ni Kwamba from 30yrs retirement ndio mpango mzima na kama ni mkataba ni mwaka mmoja mmoja tu.
wewe una matatizo makubwa sana; mie sijawahi kumtetea mchezaji yeyote. mie nimesema kila siku hapa jamvini kwamba CHELSEA FC ni kubwa kuliko mchezaji yeyote. acha uongo Sizinga.
Lampard na Terry wanaheshimiwa sana; na wataendelea kuheshimiwa. Huo ndo utamaduni wa Chelsea.🙂
Acha unafiki sizinga.
Si lampard wala Cole wala drogba ALIEFUKUZWA Chelsea.
Sera ya Club ni Kwamba from 30yrs retirement ndio mpango mzima na kama ni mkataba ni mwaka mmoja mmoja tu.
Ninaposema ALIFUKUZWA nyie mlioanza kuishabikia/kuijua Chelsea at this age hamwezi kunielewa!! Hizo ni habari za Ndani kabisa za Club!! Hahahaaa, Drogba aliondoka na kinyongo pale darajani, na ndiye aliyewapa Ubingwa wa UEFA 2012, Nyie jifanyeni mmesahau tu....eti umri ulikuwa umeenda...tehe teheheee...kama ndo hivyo hata ETO'O msingemsajili basi(AgeFactor) #TeamMburumundumwambie ukweli.
huo ukweli nyie hamtaki kuukubali...ila nawaambia kwamba #fans wa #chelsea ndo waliforce kumbakiza lampad!! These chelseafans are so strong mpaka #abromapesa akawakubalia. Otherwise ingekua ni nguvu ya bosi tu ...agh tangu 2012 lampad alikuwa hana chake!!
Ninaposema ALIFUKUZWA nyie mlioanza kuishabikia/kuijua Chelsea at this age hamwezi kunielewa!! Hizo ni habari za Ndani kabisa za Club!! Hahahaaa, Drogba aliondoka na kinyongo pale darajani, na ndiye aliyewapa Ubingwa wa UEFA 2012, Nyie jifanyeni mmesahau tu....eti umri ulikuwa umeenda...tehe teheheee...kama ndo hivyo hata ETO'O msingemsajili basi(AgeFactor) #TeamMburumundu
Huo Ukweli nyie hamtaki kuukubali...ila nawaambia kwamba #Fans wa #Chelsea ndo waliforce kumbakiza Lampad!! These ChelseaFans are so strong mpaka #AbroMapesa akawakubalia. Otherwise ingekua ni nguvu ya bosi tu ...Agh tangu 2012 Lampad alikuwa hana chake!!
Mkuu huo ni msemo tu ambao unafanya saikolojia ya wachezaji iwe sawa kwa kila mmoja!! Ila kiukweli kuna wachezaji are stronger than Managers!! Na hilo lipo wazi. Na wana Impact kubwa ikitokea wanakorofishana na kocha. Na mifano nimekupa.(Ni kwa maana hiyo tu)wewe una matatizo makubwa sana; mie sijawahi kumtetea mchezaji yeyote. mie nimesema kila siku hapa jamvini kwamba CHELSEA FC ni kubwa kuliko mchezaji yeyote. acha uongo Sizinga.
Lampard na Terry wanaheshimiwa sana; na wataendelea kuheshimiwa. Huo ndo utamaduni wa Chelsea.🙂
Ninaposema ALIFUKUZWA nyie mlioanza kuishabikia/kuijua Chelsea at this age hamwezi kunielewa!! Hizo ni habari za Ndani kabisa za Club!! Hahahaaa, Drogba aliondoka na kinyongo pale darajani, na ndiye aliyewapa Ubingwa wa UEFA 2012, Nyie jifanyeni mmesahau tu....eti umri ulikuwa umeenda...tehe teheheee...kama ndo hivyo hata ETO'O msingemsajili basi(AgeFactor) #TeamMburumundu
Sera ya 30 yrs kuongeza mwaka mmoja mmoja ilikua sera ya wenger tokea enzi za unbeaten naona dunia nzima sahv wanaiga
Mkuu huo ni msemo tu ambao unafanya saikolojia ya wachezaji iwe sawa kwa kila mmoja!! Ila kiukweli kuna wachezaji are stronger than Managers!! Na hilo lipo wazi. Na wana Impact kubwa ikitokea wanakorofishana na kocha. Na mifano nimekupa.(Ni kwa maana hiyo tu)
Mkuu karibu sana hapa Jukwaani, halafu nitumie tena namba zako maana smu nilipoteza.Unataka kuniambia Abromoney Ni mtu mbaya? Au Jose? Sera za Chelsea kwa mikataba ya wachezaji wenye miaka 30 na kuendelea unazifahamu?
Ina maana siku zote Ulikua haufahamu kua mashabaki wana nguvu? Ni Mara ngapi kwa msimu uliopita Mzee wako Wenger aliomba msamaha mashabiki wake na kujitwika lawama yeye? Na kwanini afanye hivyo?
Nijibu Haya Ndio tuendelee! Vinginevyo nitakushukuru kwa kuichangamsha thread yetu!
Ninaposema ALIFUKUZWA nyie mlioanza kuishabikia/kuijua Chelsea at this age hamwezi kunielewa!! Hizo ni habari za Ndani kabisa za Club!! Hahahaaa, Drogba aliondoka na kinyongo pale darajani, na ndiye aliyewapa Ubingwa wa UEFA 2012, Nyie jifanyeni mmesahau tu....eti umri ulikuwa umeenda...tehe teheheee...kama ndo hivyo hata ETO'O msingemsajili basi(AgeFactor) #TeamMburumundu
Arsenal wamejaa makinda wenye uwezo wa hali ya JUU SANA na ndo wamepata Kikombe cha FA 2014...Flamini ndo jibu lake. WelcomeMchezaji mkubwa pale Arsenal fc ni nani?😕
Hahaaa we kweli kipofu!!agosti 8