Mkuu Ntuzu umesikika:
heshima kwenu nyote:
Mentor
Kalou
Viol
chelsea fc
na wengine wote ambao temekuwa imara katika kipindi hiki muhimu:
jumatano ni muhimu sana kwetu..
tunahitaji kupambana:🙂
Also, don't forget you were RIP at Anfield.
Bora kuwa anti-football badala ya kuwa pro-football na kutundukwa mara 7, mara sijui 5 mara sijui 6.
Hao Loser Fools hawatubabaishi chichi tuliwatundika vile vile walipokuja Emirates chacha ngoma yetu na wao ni drooo upo hapo? Hivi weye unashabikia timu gani? Maana huchemi isije ikawa ile timu ya vichochoroni khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hao Loser Fools hawatubabaishi chichi tuliwatundika vile vile walipokuja Emirates chacha ngoma yetu na wao ni drooo upo hapo? Hivi weye unashabikia timu gani? Maana huchemi isije ikawa ile timu ya vichochoroni khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
TUANZE NA HABARI HII YA MJINI...
sisi hatutaki mazoea na matimu ya kizamani: tuliwapiga nje na ndani.
2-1 + 2-0 = 4-1
kumbuka sisi hatuna 'washambuliaji' sasa nashangaa mabeki wanawezaje kufunga magoli yote hayo?
Hawa jamaa kweli walizidi sn zarau! Maana walikua wanawaponda sn strikers wetu na kuwalinganisha na beki wao Martine Skirtl. Eti wanadai Skirtl ni bora kuliko wafungaji wetu! Sasa sijui hayo magoli kafunga Martine Skirtl?
Sasa lile linyonya damu Lao ZOMBI SUAREZ alibanwa na Ivanovic mpk akapotea!
DELIGHTED
AND HE WAS INCLUDED IN THE PFA TEAM OF THE SEASON.. #POORFA ....
HILI LILIKUWA GOLI KWA FA ...
AMIN...
PUTTING A HOLE INTO THEIR TITLE HOPES...TUMEVUJISHA PAKACHA!!!
sAKHO ALIKUWA WAPI..HE WAS SUPPOSEDLY THE ONE TO MARK BA.
BACK TO DEFEND... #CFC
SIJUI KICHWA KINA CHAWA!???
HOW IT CURRENTLY STANDS...!!!
FULL TIME...NO CELEBRATION!
INANIUMA WAMEMWEKA HUYU JAMAA NI BETTER THAN LAMPARD..DAH!!!! POA TU