Km Galatasaray tulimfunga mbili bila, sembuse huyo PSG?
Km miti mikubwa yote ya Engaland tumeikata, sembuse hao Psg?
Khe Khe Khe
Km tumekua kiboko ya Fc Barc kwa England sembuse hao PSG?
Khe Khe Khe
Eden Hazard #17, Oscar Emboaba Jr #11, Willian da Silva #22.
hapo ataumia mtu jamani..
kati kama kawaida: Super Frank na David Luiz. kata umeme; zima umeme..
Watauliaa humu JF..tutabaki peke yetu.. KESHO NI KESHO..blue forever.
CHELSEA fc bingwa wa mataji yote yanayoandaliwa na UEFA.
1. Winners Cup-1998
2. Europa Cup-2013
3. Champions League-2012
4. Super Cup -1998
nouma sanaaa hawataamini hao
we create history ambayo ni kazi watu kuitambua
Hahah hapatatosha manake hao hao ndo walikuwepo siku napoli inatoka Cavan,lavezzi na nahasira na pastore mie 1st half 2-0 FT. Chelsea 3-0 KTBFFH $ CTID
i wont say we have to win. I wont put that pressure.
but we cant loose.
- jose mourinho[/QUO
hahaha josee hapo huwa namkubari sanaaaa
Karibu sana mkuu Gustavo; maana hapa ndo home of chelsea legends.
:nod:
Hahah sante sanaaa huwa niko page za FB sanaaa na Insta wanatambua halii hii pamoja sana
"This is the moment to say the Champions League is not over, clearly. It's not over, far from it."If a player doesn't believe it's not over, it's better for him to stay at home. And if any supporter thinks it's not possible, it's better for them to stay home on Tuesday and watch Dortmund versus Real Madrid on television.
"It's not over. That's the most important thing to say. It's not over. - jose mourinho.
kesho nawaambia ataumizwa PSG vibaya vibaya. subirini muone..:tinfoil3:
"This is the moment to say the Champions League is not over, clearly. It's not over, far from it."If a player doesn't believe it's not over, it's better for him to stay at home. And if any supporter thinks it's not possible, it's better for them to stay home on Tuesday and watch Dortmund versus Real Madrid on television.
"It's not over. That's the most important thing to say. It's not over. - jose mourinho.
kesho nawaambia ataumizwa PSG vibaya vibaya. subirini muone..:tinfoil3:
jamaa anajua sanaa ngoja tuone kesho still i have faith
it is not over..
wewe si mtu wa mpira;
:shocked:
Kesho ni siku moja ambayo itakuwa ni tamu sana, Jose Mourinho huwa anasifika kwa kupiga soka la mdomoni kabla ya uwanjani, na hii ilipelekea mpaka kuwakimbia mabingwa wa Spain FC BARCELONA maana wao hawana soka la mdomoni kwahiyo hayo maneno yake aliyasema ili kuwatia moyo mashabiki wake tuu ila yeye mwenyewe matokeo anayajua siku ya kesho kuwa SAFARI NDO INAIVIA RASMI. Kesho utashuhudia jinsi Mourinho atakavyokuwa anamkalia na Refa.
pole mshabiki wa ARSENAL:
JOSE MOURINHO THE SPECIAL ONE:
porto (2002–2004)
chelsea (2004–2007)
- primeira liga (2): 2002–03, 2003–04
- taça de portugal (1): 2002–03
- supertaça cândido de oliveira (1): 2003
- uefa champions league (1): 2003–04
- uefa cup (1): 2002–03
internazionale (2008–2010)
- premier league (2): 2004–05, 2005–06
- fa cup (1): 2006–07
- football league cup (2): 2004–05, 2006–07
- fa community shield (1): 2005
real madrid (2010–2013)
- serie a (2): 2008–09, 2009–10
- coppa italia (1): 2009–10
- supercoppa italiana (1): 2008
- uefa champions league (1): 2009–10
individual
- la liga (1): 2011–12
- copa del rey (1): 2010–11
- supercopa de españa (1): 2012
awards
- onze d'or coach of the year (2): 2005, 2010
- fifa world coach of the year (1): 2010
- iffhs world's best club coach (4): 2004, 2005, 2010, 2012
- primeira liga manager of the year (2): 2002–03, 2003–04
- premier league manager of the year (2): 2004–05, 2005–06
- premier league manager of the month (3): november 2004, january 2005, march 2007
- serie a manager of the year (2): 2008–09, 2009–10
- albo panchina d'oro (1): 2009–10
- miguel muñoz trophy (2): 2010–11, 2011–12
- uefa manager of the year (2): 2002–03, 2003–04
- uefa team of the year (4): 2003, 2004, 2005, 2010
- world soccer magazine world manager of the year (3): 2004, 2005, 2010
- lpfp awards best portuguese manager in foreign countries (2): 2008–09, 2009–10
- bbc sports personality of the year coach award (1): 2005
- la gazzetta dello sport man of the year (1): 2010[sup][158][/sup]
- international sports press association best manager in the world (1): 2010[sup][159][/sup]
- prémio prestígio fernando soromenho (1): 2012[sup][160][/sup]
- officer of the order of infante dom henrique
- honoris causa – degree by the technical university of lisbon for his accomplishments in football[sup][145][/sup]
- football extravaganza's league of legends (2011)[sup][161][/sup]
nadhani hujanielewa ila mimi nimemaanisha mpaka sasa hakuna Timu yoyote ya Italy ambayo imefika Robo.