Master kinga
Member
- Aug 15, 2023
- 43
- 35
Sema mkuuu lembu ukishampenda mchezaji hata aw eje kwako ni mzuri tuHata Caicedo alikuwa akicheza na watoto wenzake
Ronaldo alikuwa akicheza na watoto wa mitaani huko Madeira Ureno kabla hajaonekana na scouting team
Drogba alikuwa akicheza na vitoto wenzake kule mitaa ya abdijan
Hata Maradona alikuwa famous sana kwenye mitaa ya Villa Fiorito karibu na Buenos Aires.
Steven Gerrad mtoto wa mtaani purely aliokotwa akicheza boli na watoto wenzake
Zinedine Zidane kwenye maeneo ya La Castellane, mtaa wa wahuni huko Marseille
Pele amecheza sana mtaani kabla hajasajiliwa kwenye timu kubwa
Sadio Mane kaeleza story yake ya kucheza kwa muda mrefu na watoto huko kijijini kwake kabla hajapata timu kubwa
Ronaldinho mtoto mhuni kutoka mitaa ya Porto Alegre kule Brazil
Messi kutoka mitaa ya Rosario kule Argentina
Kiufupi wachezaji wengi maarufu wengi wao kutoka nchi zinazoendelea na maskini huwa wanaanzia kucheza na watoto wenzao ili waweze kuonekana
Kazi kweli kweliTHE BLUES vs CITIZEN
Paparazi - Jackson - Palmer
Enzo - Caicedo - Gallagher
Cucu - Colwil - Silva - James
Tunaenda kucheza na City ambayo kauli mbiu yake ni "Msako wa nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na kitanda kwa kitanda, utatoa hutoi"
Changamoto yetu ni kukata moto katikati ya mchezo huwa 1st half tunakiwasha hatare, 2nd half tunalala fofofo na kucheza bora liende.
Leo wachezaji wetu wajitoe kweli kweli dakika zote za mchezo, City ukisinzia kidogo tuu unakula za uso haraka haraka.
City wanafungika vizuri sana ila kwa kujituma zaidi yao uwanjani.
Gallagher mzee wa kazi chafu tunamuaminia... Jackson msimuanzishe mtatoa mitusi yte kwa ujinga atakaokuwa anafanya...yte kwa yte tunaomba mshinde hata kimoko tu halafu mshikilie bombaTHE BLUES vs CITIZEN
Paparazi - Jackson - Palmer
Enzo - Caicedo - Gallagher
Cucu - Colwil - Silva - James
Tunaenda kucheza na City ambayo kauli mbiu yake ni "Msako wa nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na kitanda kwa kitanda, utatoa hutoi"
Changamoto yetu ni kukata moto katikati ya mchezo huwa 1st half tunakiwasha hatare, 2nd half tunalala fofofo na kucheza bora liende.
Leo wachezaji wetu wajitoe kweli kweli dakika zote za mchezo, City ukisinzia kidogo tuu unakula za uso haraka haraka.
City wanafungika vizuri sana ila kwa kujituma zaidi yao uwanjani.
Kufunguka ndio mbaya leo, tucheze tu kama kwa spurs, counter za kisomi itatosha kuwalaza CityTHE BLUES vs CITIZEN
Paparazi - Jackson - Palmer
Enzo - Caicedo - Gallagher
Cucu - Colwil - Silva - James
Tunaenda kucheza na City ambayo kauli mbiu yake ni "Msako wa nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na kitanda kwa kitanda (UNATOA HUTOI)"
Changamoto yetu ni kukata moto katikati ya mchezo huwa 1st half tunakiwasha hatare, 2nd half tunalala fofofo na kucheza bora liende.
Leo wachezaji wetu wajitoe kweli kweli dakika zote za mchezo, kwa City ukisinzia kidogo tuu unakula za uso haraka haraka.
City wanafungika vizuri sana ila kwa kujituma zaidi yao uwanjani.
Chelsea hii game wanashinda. Wameanza na confidenceGame plan nzuri leo ndio itatupa ushindi
Poor gameplan kwa city tutanyweshwa pombe hapo darajani