salum nani
Member
- Mar 22, 2022
- 9
- 6
Yaani tunapitia kipindi kigumu sana timu inapoanza kujitafuta linatokea Wimbi la wachezaji majeruhiMbona miaka miwili iliyopita Chelsea FC tulikuwa hatuna wimbi la Majeruhi kama sasa hivi? Kulikoni darajani tena Machifu?
20/08/2023 Chukwuemeka Majeruhi tena [emoji848] [emoji134]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kaumia goti halafu bado akawa anaendelea kuchezaMbona miaka miwili iliyopita Chelsea FC tulikuwa hatuna wimbi la Majeruhi kama sasa hivi? Kulikoni darajani tena Machifu?
20/08/2023 Chukwuemeka Majeruhi tena [emoji848] [emoji134]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Utamlaumu bure tu. Wenzake marinda hawana unadhani watauweza mziki wa wanaume kamili?wakuu tuseme ukweli huyu sanchez sio kipa aisee hamna kipa humu