asante sana kwa kuwakumbusha hasa msimu huu..Iyo ndoto mkuu, etihad ni eneo jingine
Tupaki basi kwa Marehem Man Utd?
mbona sio mashambulizi sasa..
Matic anaingia na anatoka Willian
Subiri Tarehe 3 utaona Km sio mashambulizi!
dk 86 my neiighbor still suffering from bridgenosis
kaka city ni bad news utakimbia jukwaa mkuu..
cc mfarisayo nzi & the co..Ingia na Wewe ukawassidie Hao jirani zako!
Mnalisifu panga lenu kwa kukata mpapai?