Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Nitakuwa muongo nikisema anastahili au hastahili ,maana Sio muangaliaji wa Ligi ya Ukraine ,nimemuona UCL tu ,pia thaman inapangwa au kuthaminishwa na pande zote mbiliUkiachana na hayo yote je anastahil hilo dau???
Inawezekana pia ,kwa presha ya Chelsea mtamuacha salama ikatokea amekosea?Datro anaweza akatumika km mbadala WA broja pia kipindi hiki akiwa amekosekana.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kuna sehemu nimeiona hii, man u au chelsea angemuhitaji Zaid Gapko angepigwa hata €80mUkiachana na hayo yote je anastahil hilo dau???
Hahaha ukweli huo ni kama huyu Gvardiol leo hii Liepzig wanataka zaidi ya 100M, hapo utaona City o madrid wakimchukua chini ya hapo.Kuna sehemu nimeiona hii, man u au chelsea angemuhitaji Zaid Gapko angepigwa hata €80m
Ila hivi vilabu vimeshajua Nani wakumpiga Bei kubwa na Nani wakwenda nae anavyotaka
Gapko kwa £37m
Anthony €100m
Mfano mzuri Bei ya Leao ukiulizia Ni over €100m+
Others club will be quoting a fair price anytime Chelseafc wants to buy their players it's so unfair. Liverpool Sign Cody Gakpo for a deal of £50M plus add ones. If it were to be Chelseafc PSV will be quoting £70m - £80m. And that's what they're doing in Leão and Gvardiol deal.
Hata kule Atletico De Madrid hakuonyesha hizo talentsMifumo wanayokutana nayo ndio shida.
Felix, havertz kwa mpira wa Arsenal wanaperfom vizuri tu
Ndivyo ulivyobet, ungeweka 0-2 utapata bingo kubwa zaidiLeo matokeo ya leo ni Chelsea 2 - 2 Bournemouth
Na ndio maana Chelsea tumeamua kujikita kwenye future generation of tallents. Hii ya kupigwa alianzisha Roman na Marina wake. kuanzia kwa Tores, akaja Kepa, Akaja Havertz akaja Lukaku. sasa wanataka kuingizwa mkenge kwa akina Gvardiol na hao flops wengine. Bora hata wangekuja wakacheza kwa standard ile ileKuna sehemu nimeiona hii, man u au chelsea angemuhitaji Zaid Gapko angepigwa hata €80m
Ila hivi vilabu vimeshajua Nani wakumpiga Bei kubwa na Nani wakwenda nae anavyotaka
Gapko kwa £37m
Anthony €100m
Mfano mzuri Bei ya Leao ukiulizia Ni over €100m+
Others club will be quoting a fair price anytime Chelseafc wants to buy their players it's so unfair. Liverpool Sign Cody Gakpo for a deal of £50M plus add ones. If it were to be Chelseafc PSV will be quoting £70m - £80m. And that's what they're doing in Leão and Gvardiol deal.
Ila Josko Ni mtu na nusu ,yule kwa €100m nakubali kabisaNa ndio maana Chelsea tumeamua kujikita kwenye future generation of tallents. Hii ya kupigwa alianisha Roman na Marina wake. kuanzia kwa Tores, akaja Kepa, Akaja Havertz akaja Lukaku. sasa wanataka kuingizwa mkenge kwa akina Gvardiol na hao flops wengine. Bora hata wangekuja wakacheza kwa standard ile ile
Kwa ule mpira wa Atletico Ni rahisi mzamiru Yassin na kibu Denis Waka shine kuliko Joao FelixHata kule Atletico De Madrid hakuonyesha hizo talents
Na ndio maana Chelsea tumeamua kujikita kwenye future generation of tallents. Hii ya kupigwa alianisha Roman na Marina wake. kuanzia kwa Tores, akaja Kepa, Akaja Havertz akaja Lukaku. sasa wanataka kuingizwa mkenge kwa akina Gvardiol na hao flops wengine. Bora hata wangekuja wakacheza kwa standard ile ile
City wana 4-5 CB na wote wanabadilishanaLevi cowill moja ya beki mzuri, LCB ,mmemtoa mkopo ,halafu mnaenda sokoni kununua LCB wa Monaco[emoji1787][emoji1787]
Tajiri wenu ngumu kumuelewa
Denis leo anaanza kwa mara ya kwanzaOur XI vs Bournemouth
Kepa
James Silva Koulibal Cucu
Jorg
Zach Mount
Sterling Havertz Pulisic
Sub
Bettinelli, Azpilicueta, Chalobah, Humphreys, Gallagher, Hall, Chukwuemeka, Hutchinson, Aubameyang.
Mbona Mendy hayupo hata benchi?Our XI vs Bournemouth
Kepa
James Silva Koulibal Cucu
Jorg
Zach Mount
Sterling Havertz Pulisic
Sub
Bettinelli, Azpilicueta, Chalobah, Humphreys, Gallagher, Hall, Chukwuemeka, Hutchinson, Aubameyang.
Mendy anataka donge nono la mshahara kwenye mkataba mpya [emoji2]Mbona Mendy hayupo hata benchi?