Naona ss tunasajili wachezaji anagalau wanatia hamasa ila hawa wa mapesa mengi kwa Chelsea hakuna kitu huwa wanafeli sanaChelsea wako serious na Badiashile. Wako kwenye advance talk.
Naona hiyu ni beki mzuri zaidi ya Gvardiol kwenye kukaba ila yule Gvardiol anamzidi kwenye kucheza hasa passing
Uzuri wa Badiashile ni bei, paundi 35m vs paundi 100+m ya Gvardiol
Wewe shabiki wa ajabu sanaHii timu inasajili mabeki tu [emoji1787][emoji1787] wanadhani ndio dawaView attachment 2458905
Sasa stering si anawakaba wenyewe mkicheza kama mpo pungufu uwanjani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe shabiki wa ajabu sana
Ukapimwe mkojo
Datro ni beki?
Nkunku ni beki?
Wale wa msimu uliopita ni mabeki?
Auba ni beki?
Sterling ni beki?
Cesare ni beki?
Carney ni beki?
Omari ni beki?
Sababu pekee inayotufanya tusibid 100M kwa Gvardiol ni kupriotise maeneo mengine ya umuhim hasa hasa kiungoChelsea wako serious na Badiashile. Wako kwenye advance talk.
Naona hiyu ni beki mzuri zaidi ya Gvardiol kwenye kukaba ila yule Gvardiol anamzidi kwenye kucheza hasa passing
Uzuri wa Badiashile ni bei, paundi 35m vs paundi 100+m ya Gvardiol
Wewe jamaa akili zako fupi ,Sasa hao uliowataja hapo yupi ana msaada ,? Kama nkuku had 2023 June , hao wengine wanacheza academy, wengine flopWewe shabiki wa ajabu sana
Ukapimwe mkojo
Datro ni beki?
Nkunku ni beki?
Wale wa msimu uliopita ni mabeki?
Auba ni beki?
Sterling ni beki?
Cesare ni beki?
Carney ni beki?
Omari ni beki?
So hao hatukuwasajili kwa sababu hoja yako ilikuwa usajili? Basi hoja yako kama ni kuwa na msaada kwenye timu kafafanue hoja yako ya msingi kama una akili hata ndogo.Wewe jamaa akili zako fupi ,Sasa hao uliowataja hapo yupi ana msaada ,? Kama nkuku had 2023 June , hao wengine wanacheza academy, wengine flop
Kwa akili yako mmemsajili datro aongoze mashambulizi EPL?
Hao mabeki asilimia kubwa mnaowasajili ndio wanacheza
Ndio maana summer mmetumia €300m ,ila unaweza ukaona Kama Ni uzushi, kumbe Ni kweli, maana sajili kibao Ni za malengo ya 2030 ,na wengine kina Sterling ,auba flops
Ila huyo Joao Felix ni kama akina havertz tu. Wanadaiwa wana talent nyingi lakini hazionekani uwanjaniChelsea wahusishwa na deal la mkopo la kumchukua João Felix
[emoji599] Todd Boehly is believed to be willing to move swiftly for a deal. Felix would compete as a left-sided forward who can also play on the right, with Kai Havertz in the frame to play as a central forward.
[via Mike McGrath-Telegraph]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mifumo wanayokutana nayo ndio shida.Ila huyo Joao Felix ni kama akina havertz tu. Wanadaiwa wana talent nyingi lakini hazionekani uwanjani
Kenge hata umpige hawez kusikiaSo hao hatukuwasajili kwa sababu hoja yako ilikuwa usajili??
Basi hoja yako kama ni kuwa na msaada kwenye timu kafafanue hoja yako ya msingi kama una akili hata ndogo
Kwa sababu ninyio Arsenyeto ni wabishi na kila wakati mna milango ya kutorokea mada
Kinachonishangaza mbona kina Felix mnao hapo hapo , Mount, Havertz ,mkimuongeza Felix ataingia kwenye mifumo hiyo hiyo ya kina KaiMifumo wanayokutana nayo ndio shida.
Felix, havertz kwa mpira wa Arsenal wanaperfom vizuri tu
Felix anajulikana Ni moja ya Talent nzuri Duniani, move yake ya kwenda Atletico timu ambayo approach ya Kwanza Ni kujilindaIla huyo Joao Felix ni kama akina havertz tu. Wanadaiwa wana talent nyingi lakini hazionekani uwanjani
Mkuu vipi swala la kutoa €65M kwa Mudryk ni sawa, anastahili hilo dau?? Au amekuwq overpricedFelix anajulikana Ni moja ya Talent nzuri Duniani, move yake ya kwenda Atletico timu ambayo approach ya Kwanza Ni kujilinda
Tena hapo Ni Sababu bosi wa Arsenal Ni mpale ,Mkuu vipi swala la kutoa €65M kwa Mudryk ni sawa, anastahili hilo dau?? Au amekuwq overpriced
Ukiachana na hayo yote je anastahil hilo dau???Tena hapo Ni Sababu bosi wa Arsenal Ni mpale ,
Shakhtar wanataka €100m bila maelezo, wanasema Ni moja ya talent katika Ukraine ,wanasema waamini miaka miwili atakuwa world class
Wakaenda mbali wakasema Kama Grealish , Anthony wameuzwa kwa €100m , why wao wamuuze Bei ya chini, Summer waligomea €50m ya Everton ,
Kwahiyo kwa €60-65m tutakuwa tumepambana Sana kuwashusha
Datro anaweza akatumika km mbadala WA broja pia kipindi hiki akiwa amekosekana.Wewe jamaa akili zako fupi ,Sasa hao uliowataja hapo yupi ana msaada ,? Kama nkuku had 2023 June , hao wengine wanacheza academy, wengine flop
Kwa akili yako mmemsajili datro aongoze mashambulizi EPL?
Hao mabeki asilimia kubwa mnaowasajili ndio wanacheza
Ndio maana summer mmetumia €300m ,ila unaweza ukaona Kama Ni uzushi, kumbe Ni kweli, maana sajili kibao Ni za malengo ya 2030 ,na wengine kina Sterling ,auba flops