Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Cheltako kesho matumbo joto pale Elland roadLeeds United boss Jesse Marsch:
"Even against a team like #Chelsea, we believe we can get a result at home."
[via @LUFC]
Mmh utakuwa umechanganya na sanchoka Mzee[emoji23]....Sancho aliwahi kusema amekuwa toka mdogo anaishabikia chelseaNikikumbuka kuna wana hapa walikuwa wanasema Halland ni shabiki wa Chelsea na anapenda kuja kuichezea Chelsea [emoji23][emoji23] aisee mpaka nachoka kukumbuka.
Hapana mzee wangu, nakumbuka kabisa n Halland tena n kipindi kile anauzwa kwa pesa ndefuMmh utakuwa umechanganya na sanchoka Mzee[emoji23]....Sancho aliwahi kusema amekuwa toka mdogo anaishabikia chelsea
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Na Conte naye anasemaje against a team with Nuno tavares ?[emoji1787]Leeds United boss Jesse Marsch:
"Even against a team like #Chelsea, we believe we can get a result at home."
[via @LUFC]
Huyu Coulibaly hamna kitu humo. Kuna kitasa cha ki Croatia kipo ujerumani kinacheza RB Leipzig kina jina gumu kama dawa zinazoelekeana na putururu nakumbuka jina la mwanzo ni Josko. Huyu dogo miaka 20 tu na ndio mbadala mzuri wa Rudiger.Koulibaly ndio kwanza amefikisha 30, stil anaweza kuwa msaada kwa miaka 3,
Since amebakiza 1yr katkka mkataba wake ni rahisi kumpata kwa bei ndogo 25-30ML
Anaweza tupa kile ambacho Van dijk anachowapa liverpool or Dias anachowapa City,
Silva sidhan kama next season atakuwa anacheza mara kwa mara
Hawa jamaa wanajaribu kufanya ivi ili kumshawishi dogo aendelee kubaki pale Crystal Palace kwa sababu hapo kabla walishaonesha nia ya kutaka kumsajili jumla. Japo dogo amekua na msimu mzuri sana akifunga magoli 8 na asisti 5 katika mechi 36. Wakati Wilfred Zaha amefunga magoli 14 asisti 2 katika mechi 34.OFFICIAL: Chelsea loanee Conor Gallagher has been named Crystal Palace's 2021/22 Player of the Season.
[emoji860]Conor Gallagher: "I can’t thank the fans enough. You’ve been brilliant. I've loved every minute of playing for Crystal Palace. I want to thank the players and the staff as well, because they’ve been unreal." #LoanWatch
Jumamosi ndio itakua fainali ya mwisho ya Rudiger ndani ya Chelsea. All the best mwamba tuheshimishe kama ilivyokua kwa Hazard dhidi ya ArsenalEverything has been completed for Antonio Rudiger to make his move to Real Madrid. Official announcement will be made at the end of the season.
[via FabrizioRomano]
#CFC |
Yeah ndo nasikia hata Tuchel anamkubali na anatumia mguu WA kushoto kwahyo atafaa upande WA kushoto kwenye LCB km tukicheza na back3 lkn pia hata leftback anakichafua pia....Ila nilivyomuelewa mwana ni kwamba tunahitaji pia maturity pale nyuma Kwa maana hatuna uhakika n performance msimu ujao ya thiago silva..so tukiwa na josko, kounde,levi colwill, na kina chalobah ...wanaweza wakatengeneza Ukuta mzuri Ila maybe watakwamishwa kidg n maturity maana wote bado majanjaroHuyu Coulibaly hamna kitu humo. Kuna kitasa cha ki Croatia kipo ujerumani kinacheza RB Leipzig kina jina gumu kama dawa zinazoelekeana na putururu nakumbuka jina la mwanzo ni Josko. Huyu dogo miaka 20 tu na ndio mbadala mzuri wa Rudiger.
Still bado hatafaa, vinginevyo kama tunataka Chelsea ije kuwa Old LadyKoulibaly ndio kwanza amefikisha 30, stil anaweza kuwa msaada kwa miaka 3,
Since amebakiza 1yr katkka mkataba wake ni rahisi kumpata kwa bei ndogo 25-30ML
Anaweza tupa kile ambacho Van dijk anachowapa liverpool or Dias anachowapa City,
Silva sidhan kama next season atakuwa anacheza mara kwa mara
[emoji16]Points zote tunatakiwa kuzibeba kwenye hizi game
pts 12+66 = 78
- VS WOLVES
- VS LEEDS UNITED
- VS LEICESTERCITY
- VS WATFORD
Tuonane msimu ujao
Tunahitaj hata experienc mmoja ambae atakuwa regular sidhan kwa msim ujao silva atakuwa regular kama msim huuYeah ndo nasikia hata Tuchel anamkubali na anatumia mguu WA kushoto kwahyo atafaa upande WA kushoto kwenye LCB km tukicheza na back3 lkn pia hata leftback anakichafua pia....Ila nilivyomuelewa mwana ni kwamba tunahitaji pia maturity pale nyuma Kwa maana hatuna uhakika n performance msimu ujao ya thiago silva..so tukiwa na josko, kounde,levi colwill, na kina chalobah ...wanaweza wakatengeneza Ukuta mzuri Ila maybe watakwamishwa kidg n maturity maana wote bado majanjaro
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Experience ni lazima awe below 30 unless kuna evidence kwamba Koulubally ndio sasa yuko kwenye peak season yake. Ila kama ndio anashuka asije akatufiaTunahitaj hata experienc mmoja ambae atakuwa regular sidhan kwa msim ujao silva atakuwa regular kama msim huu