Kiukweli walichofanyiwa Chelsea ni ungese mtupu! Ni wapinzani wangu lakini kwa hatua hii hata ladha ya Mpira imekufa kabisa!Wamezuia hata washabiki kununua ticket kuingia kuangalia team zao hakuna kununua jezi hakuna kununua au kuongeza mkataba wa mchezaji kama huna nia ya kuuwa team ni nini? mfungie huyo owrner ambaye miaka 19 walifunga macho hata wakati Russia wanapiga Syria na kuuwa watu walikuwa kimyaa leo macho ya blue ndio binadamu hawa wengine mbwa. Hakuna mtu anapenda vita ila sote tunapenda kuona haki na maisha yote kuwa sawa. Russia kauwa sana watu Syria walikuwa wapi hawa UK? Double standard inaumiza sana usiombe ya kukute kuona huthaminiwi kwa sababu ya uraia wako au rangi yako inauma. Watuachie mpira wetu kama wao wanaume waende kupigana. Kama wana jeuri wapokonye Man city na Newcastle maana Saudia na UAE mwaka wa saba wanapiga Yemen na ndege watu kibao wamepoteza maisha hao sio watu?
Hao watakuwa wamemkazia Yule mturuki Kwa kuwa n rafiki yake na RomanThe UK government views the British property tycoon Nick Candy and a consortium headed by Todd Boehly and Hansjörg Wyss as serious contenders to buy Chelsea after inviting potential bidders to approach it with takeover proposals.
- @guardian_sport
Me nahisi yule mturuki alikuwa anatafuta kiki tu, maana ukiskia hata interview zake unaona kabisa jamaa sidhan kama alikuwa seriousHao watakuwa wamemkazia Yule mturuki Kwa kuwa n rafiki yake na Roman
Hapa naona tukiangukia kwa yankee o watoto wa malkiaHao watakuwa wamemkazia Yule mturuki Kwa kuwa n rafiki yake na Roman
Naona unapita ghetoni Kwa wanaume na kanga moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cheltako nasikia jpili mtavaa magauni vs Newcastle jezi nazo zimetaifishwa hahaha
Naona unapita ghetoni Kwa wanaume na kanga moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah sema tunaenda kumilikiwa na wamarekani kama nyie dah.Hata ghetto lenyewe hamna nyie maandazi
tutolee upumbavu apa ..Moto ni ule uleCheltako nasikia jpili mtavaa magauni vs Newcastle jezi nazo zimetaifishwa hahaha
Hao kama sio Arsenal, ni ManureKiukweli walichofanyiwa Chelsea ni ungese mtupu! Ni wapinzani wangu lakini kwa hatua hii hata ladha ya Mpira imekufa kabisa!
Mpira unakokotwa na matukio ya kisiasa ya upande mmoja tu, mambo ya kishamba sana.
Wanaikomoa Chelsea baadala ya kumkomoa R.A
Sijapenda kwakweli
YNWA!