Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa wamefika wanne na wote sio mabilionea wakuba hata kidogo

  1. Hansjorg Wyss (86yo) - Net worth: £4billion (Swiss Tycoon)
  2. Jim Ratcliffe (69yo) - Net worth: £6.33billion (UK billionaire and richest man in 2018 but his richness declined in recent years)
  3. Todd Boehly (46yo) - Net worth: £4billion (The American billionaire heavily involved in buying Chelsea in 2019 but his Pound 3BN fall short of Roman valuation)
  4. Stephen Ross (81yo) - Net worth: £6billion (American billionaire was heavily involved in Europena Super League Establishment)
 
Bora achukue yeye hao wazungu wanataka faida tu watabania pesa za usajili klabu iwe kama mwanitesa united na asernane za wamarekani
 
Kuna watu wakishashiba njugu mawe huko utasikia Werner auzwe. Sijui RLC sijawahi kuona perfomance yake.

Halafu mpira wanaangalizia livescore
Absolutely kiukweli wanakera Sana RLC ni mchezaji mwenye talent kubwa Sana ila kuna vitu anatakiwa avifanyie kaxi kama kuachia mpira kwa haraka, kuwa na consistency na kujituma atakuwa bonge la mchezaji
 
Boehly nimeichek interview yake aliyowah kuhojia juu ya kutaka kununua klab premier league, vision yake ni nzuri.

Ila hawa wamarekan sio wakuwaamini hata kidogo. Huwa wapo kwa ajili ya faida tu.
 
Kuna watu wakishashiba njugu mawe huko utasikia Werner auzwe. Sijui RLC sijawahi kuona perfomance yake.

Halafu mpira wanaangalizia livescore
RLC jana kacheza vizuri sana Ila kocha asimpange kwenye central defense tena tukicheza na timu zenye kupress halafu akacheza namna ile, ataruhusu magoli ya kizembe sana. Jana tungecheza na Liverpool au City tungefungwa sana kwa uchezaji wa Loftas cheek karibu na goli

CB haimhitaji mtu anayependa kudrible. Dribling ni kwenye advance position kama attacking midfielder au forward

CB inamhitaji mtu anayeweza kupiga pasi tena za harakla haraka, hii ya kupokea mpira na kuanza kupiga chenga golini ni very very risky
 
Kenedy alitakiwa auzwe siku nyingi sana. kwa uchezaji wake ule wa jana kijana huyu hayuko clinical kwa kila kitu. Namuona upande wa physics tu. So bad 26 years na bado hajaonyesha kuwa anafaa kucheza Chelsea
 
Abramovic ni kama bakhresa atakapolazimishwa kuuza azam endapo muungamo utavunjika
 
Ila Liverpool alibebwa haswa kuhusu goli la Lukaku maana halikuwa offside kabisa daaah...! Hakika waamuzi wa UK ni pasua kichwa.

Au nao wanabeti nini?
 
Sidhan hata kama Tuchel angeweza mpanga hivyo eti dhid ya liverpool o city umuweke rlc kama rcb haiwezekan hiyo

Tuchel jana kapanga kutoka na wapinzan tuliokutana nao, n vile vile kwa sababu ya minor injury zilizotokea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…