Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Piga mbwa nyie nje ndani .....

Msimu mzima mmepiga 0 shots on Target kwenye lango la city ....


Sasa hii nayo ni timu au takataka🤣🤣🤣🤣
 
Nyie kenge wa blue amkeni kudadeki ,Kama mnaweza mtufuate pale juu Sasa...🤣🤣🤣🤣
 
Kwani N'golo kante kamgalagaza tena KDB? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie kenge wa blue amkeni kudadeki ,Kama mnaweza mtufuate pale juu Sasa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawewe uwe na aibu bhana yaani kazi kuzungukia uzi wa wenzio tu tengeneza uzi wa man city uwe unachat mwenyewe na kujijibu mwenyewe, alafu shabikia tim yenye changamoto sio tim kila siku inashinda tu [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…