Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Team yenu imejaa wachezaji wa championship ni suala la muda mutajua kama kocha anaibeba team
Team yako yenye wachezaji wa champions league ina point ngapi nyuma ya wachezaji wa championship? Kwani timu yenu haina kocha wa kuibeba? Nyie ndio mnaosema, kipa kawasaidia utadhani kipa siyo mchezaji na wala kudaka siyo jukumu lake.
 
hapo mbele aweke Lukaku tunakosa vitu vingi Sana hapo, beki za manjesta zinavuja balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…