Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Odoi akipata kucheza mara kwa mara (mfululizo) consistency atakuwa nayo ila kama ndio leo yupo kesho hayupo tusitegemee kumuona anaconsistenncy,

Pulisic anakipaji shida yake ni majeruhi ya mara kwa mara, pale anapoanza kuwa na kiwngo kizuri ndio majeruh yanapompata same to ziyech
 
Kweli mkuuu
Possession tuna 63% shots on target tuna 5, off target tuna 4 Wapinzani wetu on target Wana 1 off target Wana 3 utasemaje tumecheza vibaya?Tena hiyo ni Takwimu za half time tu.Na Southampton wapo vizuri wametupa game ya maana au wewe ulitakaje? Japo wapo compact and well organized lakini tumeweza kulenga goal lao Mara 5 wakati tulivyocheza nao kwenye ligi half time tulikuwa hatuna hata shot on target ukitoa goal alilofunga benchilwell
 
Mimi kwa maoni yangu na jinsi nimefuatilia hiyo game, timu haijacheza vizuri japo individual players kama Chalobah, Havertz , Reece James na Kepa wamecheza vizuri, wengine average level, hizo takwimu hazijustify uchezaji bora. Anyway kwa level ya timu iliyocheza siwezi kusema sana, kupita tumepita kwa bahati tu. Natumaini kwenye quarter final TT ataweka timu imara
 
Thomas Tuchel on Saul Niguez:

"Was a good match, a huge step in the right direction for him. I am happy. We thought maybe he would be struggling with the intensity at the 70th minute but he got better and better, had chances and shots."

[via Chelseafc]
Saul was impressive today, unlucky not to be on the score sheet
Saul jana ameupiga mwingi sana kuna vitu vingi amemprove isingekuwa ubora wa kipa wa Foster basi jana angeondoka na goal
 
Kwa safari tuliyonayo (mrundikano wa mechi na ligi mbalimbali) hata hapo tushukuru. Kocha anajitahidi kutengeneza vikosi vingi ili awwze kuhimili ligi hizo!
 
Kwa safari tuliyonayo (mrundikano wa mechi na ligi mbalimbali) hata hapo tushukuru. Kocha anajitahidi kutengeneza vikosi vingi ili awwze kuhimili ligi hizo!
Kwassbb bado hatujajua mkazo tuueke kwenye kombe lipi, yote tuko 50, 50, lakini blues lazima tumalize na kombe hata moja, TT anafanya balancing Zuri katika wachezaji, hata Rose barkerly anacheza aisee, japo huyu mugereza bado kwenye match kubwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…