Ila TT hajafanya poa kutompanga simtank maana hizi ndio mechi pekee simtank angeweza tupia, au majeruhi?Naona leo ni zamu ya Chelsea academy kutupia magoli[emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Acha maneno sie tunachotaka ni 3 points. Hivyo vingine ni vibwagizo tu.Ila TT hajafanya poa kutompanga simtank maana hizi ndio mechi pekee simtank angeweza tupia, au majeruhi?
Kushinda ndo nini???? Kufunga ndo kushinda???Kila mchezaji wa chelsea anauwezo wa kushinda kwenye 1st eleven kabakia kipa tu hajashinda
Match ya malmo uliingalia?Ila TT hajafanya poa kutompanga simtank maana hizi ndio mechi pekee simtank angeweza tupia, au majeruhi?
Typing error
Bora mmeshagundua kuwa jamaa ni muhujumu uchumi tu hana jipyaAcha maneno sie tunachotaka ni 3 points. Hivyo vingine ni vibwagizo tu.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
No! Vipi alitupia? Maana vitimu vya hivyo ndio anaviwezaMatch ya malmo uliingalia?