Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Umezaliwa miaka ya 2000, unajivunia ubingwa wa miaka ya 1960, huna tofauti na mtu anayejitekenya huku anacheka mwenyewe akiwa anajiangalia kwenye kioo [emoji16]Ishu sio kuwa bingwa wa ulaya je ni bingwa Mara ngapi wa ulaya. Wewe kwangu kwa ulaya bado dogo kamtambie Arse8
Kwa hiyo wewe mbwiga wa kwa mtogale una upeo wa kuchambua mpira kiubora hasa kuliko akina Michael Owen aliyetetemesha maamuzi ya Refa wenu uchwara kuwa haikupaswa iwe kadi nyekundu ya I kwa 1 badala ya njano?Maamuzi yalifuata sheria inasemaje refa hakujiamulia from no where sio bongo kule
Affiliation = Love belongingness and sense of recognition.Mpira ulipoisha tu TT alimkimbilia Kepa kumpongeza kwa cleansheet
Siyo Jiwe tu hata udongo [emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe Chelsea inaweza ikaweka hata jiwe golini na isifungwe maana si kwa ukuta ule [emoji23]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Ingekua lile game tumedroo bila bila.Kuna jamaa kule Liverpool Encho eti kaweka kinachotuweka pale juu ni alphabet letter, yaani C ya Chelsea iko juu ya L ya Liverpool nikacheka kumbe wengine wanauwezo wa kushika kalamu au keyboard lakini uwezo wa kuchambua hawana
Leo ligi ikiisha matokeo hivi, Chelsea ni bingwa kwa sabbau ya goli la ugenini dhidi ya Liverpool. Yaani katika goli 12 tuliyofunga moja tumemfunga Liv erpool nyumbani kwake. Kwa hiyo kwa sheria ya EPL, timu zikifungana kila kitu wanaangalia H2H result, mwenye H2H results bora ndie mshindi. Kwa hili sisi tuna head to head better results dhidi ya Liverpool kwa sababu ya ile droo tukiwa pungufu tuliyopigania pale Anfield
Unable to split the difference between Liverpool and the reigning European champions, Thomas Tuchel’s side currently sit in top spot by virtue of alphabetical order.
Liverpool and Chelsea title decider found as Virgil Van Dijk reaches landmark
Liverpool and Chelsea are currently tied at the top of the Premier League while Virgil Van Dijk played his 100th league game for the Redswww.liverpoolecho.co.uk
Tungekaa pale alphabetically au kama ni kombe tungecheza Play-off game ya kupata mshindiIngekua lile game tumedroo bila bila.
Sasa wewe si utumie tu painkiller kupunguza maumivu ya maneno na kejeli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Humu ndan sioni mnachojivunia zaidi ya matusi na kejeli [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unatafutaga comments kwanguvu sanaHumu ndan Kuna wavuta bangi tu ,ukicheki uchambuzi wao ni zero brain in football
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unatafuta Bwana humu ndani?Humu ndan Kuna wavuta bangi tu ,ukicheki uchambuzi wao ni zero brain in football
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wewe mbwiga wa kwa mtogale una upeo wa kuchambua mpira kiubora hasa kuliko akina Michael Owen aliyetetemesha maamuzi ya Refa wenu uchwara kuwa haikupaswa iwe kadi nyekundu ya I kwa 1 badala ya njano?
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app