Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapana boss ile ni red kabisa.
Navojua mm kama nitakuwa sipo sawa naomba mnirekebishe.

Mpira unaoelekea moja kwa moja ndani ya goli mtu akiushika hy ni red ya moja kwa moja, mpira uliyopo ndani ya box ukishika ni njano.
Kuna tofauti ya kudaka kw kusudi na mpira kufuata mkono. Suarez alidaka kusudi, james mpira umefuata mkono. Refa alishakuwa na maamuzi yake kichwani ndio mana akaangalia picha na kufanya maamuzi.
 
Kuna tofauti ya kudaka kw kusudi na mpira kufuata mkono. Suarez alidaka kusudi, james mpira umefuata mkono. Refa alishakuwa na maamuzi yake kichwani ndio mana akaangalia picha na kufanya maamuzi.
Tukiangalia hivo na ile ya Suarez Basi ndo maana kukawa na penati , Mana suarez alijifanya kipa kabisa ,ikawa penati na red ,hizi sheria ngumu kuzielewa
 
Kuna tofauti ya kudaka kw kusudi na mpira kufuata mkono. Suarez alidaka kusudi, james mpira umefuata mkono. Refa alishakuwa na maamuzi yake kichwani ndio mana akaangalia picha na kufanya maamuzi.
Picha yenyewe hakuiangalia, VAR sijawahi ona refa akiiangalia kwa sekunde moja.
 
Chelsea tunacheza vizuri sana kwenye kuzuia, kwenye kuzuia sina mashaka kabisa. Wasiwasi wangu ni kule mbele, Lukaku bado hajatulia kabisa.
But Mount na Havertz nao pia ni wazito kupiga through pass kwa Lukaku, wanatia urembo mwingi kwenye counter attack
 
But Mount na Havertz nao pia ni wazito kupiga through pass kwa Lukaku, wanatia urembo mwingi kwenye counter attack
Kuna kama mbili hivi Lukaku anataka achomoke wakaremba, halafu Lukaku kuna kama mbili pia badala y kutoa pass kw havertz ambae alikua ktk position nzuri akatoa kw Mount.
 
Ila jana tackits zake zilishindwa kufanya kazi kisawasawa
 
Usitegemee maamuzi magumu kutokea kwa Jorginho na vile ndie mchezaji bora wa uraya
 
But Mount na Havertz nao pia ni wazito kupiga through pass kwa Lukaku, wanatia urembo mwingi kwenye counter attack
Bado hawajazoeana, kuna pasi moja jana yaani Havertz aliudhi, Lukaku yuko kwenye golden space ya kufunga yeye akaremba kama ile ya james na arsenal second chance iliyopotea tu. In TT we trust, atawafanya wazoeana tu na nadhani wakati wa kutadhmini mchezo hayo makosa wanayapitia ili wayarekebishe next game
 
But Mount na Havertz nao pia ni wazito kupiga through pass kwa Lukaku, wanatia urembo mwingi kwenye counter attack
Ila jana si mmeona umuhimu wa talent za Kai, unexpected header goal hata mabeki wa Liver wamebaki midomo wazi. Brilliant header
Magoli mengi ya Kai akiwa Leverkusen yalikuwa ya naman hii, unapozania hafungi yeye ndio anafunga
 

Chelsea’s Thomas Tuchel criticises referee over Reece James red card​

Thomas Tuchel admitted he was disappointed with the referee Anthony Taylor’s decision to show Reece James a red card
Tuchel was critical of Taylor’s decision to consult a still image of the incident rather than a video replay. “I can understand the decision and I’m not saying it’s wrong,” said the German. “But I did not like the way the referee checked it because for me he checked only the image and the image showed the contact. We saw on the bench that it was a deflection from a short distance that came off his hip and the arm was not in a super unnatural position. I would have wished for a longer consultation – maybe he would have made the same decision. But we have to live with it.”
 
Haya ndiyo niliyasema uwezi toa a uamuzi kwa image bila kuangalia the source
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…