Dk 5 hizi tusikubali point hii moja ipoteeSijui TT atakuja na mbinu gani kuziba hilo pengo la James.
Tupaki bus tuu
--------- Mount ---------- Lukaku -----------
Chiliwell --- Joginho --- Kante ------ Azipi
--- Rudger - Christensen - Chilobah ----
Haipotei kabisaDk 5 hizi tusikubali point hii moja isipotee
Jitafakari sana kama una timu au digidigi wanarukaruka uwanjaniMna bahati nyambafu. Uharo ulikua unagonga gonga
Leo nimeamini Defense yetu ndiyo iliyotupa ubingwa na ndio itakayotupa ubingwaJames Red card. Game ishakuwa ngumu kwetu
Hii arsenal, hawa ni mabingwa wa ulaya.Second goal looming, huuu msako hauwezi kumuacha mtu salama
Bahati haiji ukiwa umelala usingizi.Mna bahati nyambafu. Uharo ulikua unagonga gonga
Halafu ikawaje?Hahahahahahah chelsea mnafurahisha, Ngoja tuone dakika nyingine 45.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]It was 10 Men against 11 Cows
Hongereni sana ze Blues.
Lipuli wameshindwa kutufunga tukiwa nusu then wapo kwao hakika lipuli Hawawez kutufunga kamweDah tumepambana kiume. Safi sana the blues tumecheza kibingwa.
Ndo spirit yenyeweTimu imepambana sana
Huyu jamaa amekuwa km punguani hv baada ya kuchezea vichapo vya Chelsea back to back[emoji23]Wewe ni falaaaa ...
Mtamfunga nan mkiwa pungufuu ..
Mnaenda kupelekewa motooo mpaka mtajuta kuingia uwanjan
Nimejua hatma yangu ..VP bado unafurahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pambana kwanza na hali yako, ujue hatima yako playing with ten against eleven men. Hayo ni majaribu tosha
Aliumia nahicKocha kafikiria Nini kumtoa kante
Machezaji yenu yana akili za kitoto kitoto, ngojeni tuwanyoe kwanza kenge nyinyi
Kaangalia. James aliurudisha mpira kwa mkono cheki second replayRefa msenge sana yaani hata hajaangalia replay kwenye VAR.
Wewe ni falaaaa ...
Mtamfunga nan mkiwa pungufuu ..
Mnaenda kupelekewa motooo mpaka mtajuta kuingia uwanjan
Pambana kwanza na hali yako, ujue hatima yako playing with ten against eleven men. Hayo ni majaribu tosha