Hahahh sijawahig enjoy kama navoenjoy msimu huu... kwanza ndo bingwa wa UefaLeo leo leo tunakula kuku 4 leo leo leo leo. Liverkuku mboga yetu. Hatuachi hata mfupa yaaani leo ndio leo watakoma. Wale veki zao wenye majeraha ya kila mara zile pushi za kifaru lukaku mbona wataomba sub wenyewe
Noma noma mzee babaHahahh sijawahig enjoy kama navoenjoy msimu huu... kwanza ndo bingwa wa Uefa
Game saa ngapi chifuLeo leo leo tunakula kuku 4 leo leo leo leo. Liverkuku mboga yetu. Hatuachi hata mfupa yaaani leo ndio leo watakoma. Wale veki zao wenye majeraha ya kila mara zile pushi za kifaru lukaku mbona wataomba sub wenyewe
19:30 nadhaniGame saa ngapi chifu
Kwa uchezaji wa Alonso nilitegemea tu TT kwenye mechi kubwa hatamuacha. Tukumbuke ni huyu huyu Alonso aliyewaliza Man City kwenye Ligi dakiak za lala salama. Uwepo wa Mount, Alonso, Lukaku na hata Havertz kule mbele kutaweka threats kubwa kwenye defense ya Livapuli na hivyo kuwanyima kucheza mfumo wao
Naona Liver wanamtumia zaidi Elliot kupeleka mashambulizi kupitia Alonso, japo anacheza vizuri mbele nadhani TT atamuingiza Chilwell baadayeAlonso hii mechi sio ya kwake. Rudger mzigo unamuelemea