Ndugu ki team unacho shabikia kimeshindwa kuingia Europa conference league kule kuna team bora kuliko arsenal zikiwemo shamrok ,teuta ,BODO nk .Arsenal wameamua kuwa midtable team wewe kama mshabiki kubali maamuzi ya wamiliki wa Arsenal .Arteta anamaliza juu ya Chelsea this season, na Emirates mnakufa nyingi tu
Aisee ni bora nishabikie Shamrok walau ina historia ya kueleweka kuliko kikundi cha wahuni kolichoanzishwa 2010.Ndugu ki team unacho shabikia kimeshindwa kuingia Europa conference league kule kuna team bora kuliko arsenal zikiwemo shamrok ,teuta ,BODO nk .Arsenal wameamua kuwa midtable team wewe kama mshabiki kubali maamuzi ya wamiliki wa Arsenal .
Myahudi Jr II unaitwa huku mkuu😄Fan wa pili Chelsea Mwenye akili timamu humu jf ukiachana na Myahudi Jr II
Waliobaki wote upepo
Sasa unamchugua lukaku ili ugundue nini??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
spurs hawawezi kuuza silaha Kwa local rivals wao NI heri wauze Kwa man u au city lkn sio Chelsea so ni gumu Hilo diliHivi hatuwezi toa £150 kwa spurs watuachie Kane maana Kiroba ni Abraham aliyeshiba Bora tuwe wavumilivu na false 9 msimu ujao kuliko kutoa £100 kwa mchezaji asie jua hata kutuliza ]
Daah leo mambo magumu hapa yenyewe natumia FreebasicsEzekiel Mbaga Leo vip video za magoli mkuu?
Levy hawezi tuuzia hata kwa nini refer wakati wa modricHivi hatuwezi toa £150 kwa spurs watuachie Kane maana Kiroba ni Abraham aliyeshiba Bora tuwe wavumilivu na false 9 msimu ujao kuliko kutoa £100 kwa mchezaji asie jua hata kutuliza ]
Hivi hatuwezi toa £150 kwa spurs watuachie Kane maana Kiroba ni Abraham aliyeshiba Bora tuwe wavumilivu na false 9 msimu ujao kuliko kutoa £100 kwa mchezaji asie jua hata kutuliza ]
spurs hawawezi kuuza silaha Kwa local rivals wao NI heri wauze Kwa man u au city lkn sio Chelsea so ni gumu Hilo dili
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kiasili Wote wapinzani wetu wa kawaida wa London...Ila London imegawanyika Sisi tupo west London wao arsenane na spurs North London kwahyo wanaupinzani Sana kiupande wao..Chelsea wapinzani wetu sanasana wa asili kama sio QPR basi ni fulham au westham kama sikosei...Hivi kati ya Spurs na Asenane yupi ni mpinzani hasa wa Chelsea?
Kiasili Wote wapinzani wetu wa kawaida wa London...Ila London imegawanyika Sisi tupo west London wao arsenane na spurs North London kwahyo wanaupinzani Sana kiupande wao..Chelsea wapinzani wetu sanasana wa asili kama sio QPR basi ni fulham au westham kama sikosei...
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huyo Ivan Toney unaweza kumkataa kama unavyomkataa Tammy hivi sasaHivi ni mm tu ama kuna wengine? Yaani sijawahi vutiwa na Kane huwa naona ni mbabaishaji tu, straika ni Halaand, Lewandowski ama Toney.
Jamaa anajua, kutoboa EPL sio mchezo pia ana consistency toka kaanza kupachika magoliHivi ni mm tu ama kuna wengine? Yaani sijawahi vutiwa na Kane huwa naona ni mbabaishaji tu, straika ni Halaand, Lewandowski ama Toney.
Jamaa anamkubali Ivan Toney Sana ..nilikuwa hata simfahamu ndo nimejulia kwake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo Ivan Toney unaweza kumkataa kama unavyomkataa Tammy hivi sasa