Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unamtaka halaand halafu unamtoa Werner huu ni uharibifu wa kufikiri. Werner ni threat kwa timu zingine. Ana speed, ana toa assist hafungi ila ni balaa ..uza Abraham na mazaga mengine leta huyo halaand mpira uwe hivi ..
Werner Halaand Harvert

#CFC
 
Kuwa mpole
 
Upo sahihi mkuu.

Kwanza tumpate haaland mengine tutajua mbele ya safari.
Hizo winger ndizo zimechukua UCL. Zikiungana na Haaland hata EPL inawezekana.

Haaland Kwanza .
 
Mkuu kama ungekuwa katika bodi ya usajili ya Chelsea kila msimu ungekuwa unademand wachezaji wapya tena nafasi hizohizo[emoji23]....aisee kuwa mpole chief sahv tuangalie priority za kocha anazohitaji kila siku kufumuafumua kikosi si tutakuwa tunasogea hatua 20 mbele tunarudi nyuma hatua 30 ...si bure unapoelekea utamtaka mpk fabregas [emoji23][emoji23][emoji23].....

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Breaking News: Arsenal offered Willian + £10M for Halaand…as per my sources Dortmund is looking interested as of now..😁
 
Tempo na patern ya uchezaji huwa inabadiliaka kulingana na Chemistry ya timu. TT akizoeana na wachezaji, akaja Haaland ambaye atawakeep busy mabeki, hao wanaoteseka kufunga utaona milango itawafungukia kufunga kirahisi. Na pia morale na rythmn ya kushambulia itabadilika sana. Sina shaka kwenye hilo
 
Hazard arudi darajani, kwa maana Pulisic anadema dema tuu, wastage of time
View attachment 1864909
Muache apumzike ale pension pale Real Madrid. Ametusaidia sana. Na ametufanyia mengi mazuri. Nampenda sana lakini kwasasa wacha tubaki na Pulisic. Natamani this time Hazard ashinde UEFA champion league lakini nikimkumbuka courtois nasema bara wasishinde tu. Sijajua kwann Courtois amenitoka ivi aisee[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Hii timi mbon imekaa kifalafalaa ..

Yaani utafikili hayajachukua uefa ,yaani imekaa kipimbipimbii daaaaaa
Unaumia unapokumbuka walivyokusukumizia tatu matata. Huna hamu nao tena. Sasa ivi ni wivu wa mimba ya miezi miwili inakusumbua eee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naunga mkono hoja. Tutamkumbuka kwa mema aliyotufanyia kama Didier Drogba. They are our legends ever
 
Unamtaka halaand halafu unamtoa Werner huu ni uharibifu wa kufikiri. Werner ni threat kwa timu zingine. Ana speed, ana toa assist hafungi ila ni balaa ..uza Abraham na mazaga mengine leta huyo halaand mpira uwe hivi ..
Werner Halaand Harvert

#CFC
Hii kombination nimekaa chini hapa nalia na karanga na Pepsi bigi[emoji23][emoji23].
 
Jamani, vyanzo vyangu vya ndani ya Chelsea vinaniambia lengo ni kumleta Haaland darajani. Marina halali usingizi. Kwa sababu ya unyeti wa huu usajili Chelsea wanafanya mambo chini kwa chini ili wanafiki wasije wakaharibu deal
Na pia kwa sababu hakuna timu yenye jeuri ya kuweka dau kubwa na kwa sababu pia BVB ni lazima wafanye biashara ya Haaland msimu huu, wanategeana huku BVB waksiema hauzwi mtu hapa nao The Blues wakikaa kimya huku wakipima maji kwa kupeleka bid zisizo rasmi pembeni kwa pembeni.

Bidi ya mwisho iliyopelekwa kupima maji ni ya paundi mil 130 wakikataa Chelsea watarudi na addons zenye kufika paundi mil 20
Na mojawapo ya hizo addons ni

  1. Paundi Mil 5 Chelsea wakishin da EPL
  2. Paundi Mil 5 Chelsea wakishinda UCL
 
Hii taarifa imefufua matumaini mapya ya kumsajiri haaland unaambiwa BVB wapo mbioni kumsajiri mshambuliaji wa PSV hii inatoa mwanga kwamba jamaa wanajipanga kuziba pengo la haaland
 
Hii taarifa imefufua matumaini mapya ya kumsajiri haaland unaambiwa BVB wapo mbioni kumsajiri mshambuliaji wa PSV hii inatoa mwanga kwamba jamaa wanajipanga kuziba pengo la haaland View attachment 1867775
Huu usajili wa Malen ukishakamilika, Haaland anatua darajani. BVB wanasogeza muda na kujifanya hawamuuzi Haland ili PSV wasije kudai dau kubwa kwa Malen kwa sababu ya mauzo makubwa ya Haaland. Tuombe Mungu hiyo paper work ikamilike haraka ndani ya muda
 
Hii taarifa imefufua matumaini mapya ya kumsajiri haaland unaambiwa BVB wapo mbioni kumsajiri mshambuliaji wa PSV hii inatoa mwanga kwamba jamaa wanajipanga kuziba pengo la haaland View attachment 1867775
Kule Dormund nasikia dau la paundi mil 130 limewaweka majaribuni na hizo mbio za kumnunua Malen ni katika hatua za mwanzo za kukubali hilo dili la kumuuzia Haaland Chelsea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…