Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi unajua Lionel Messi alifunga goli 50 Mwaka 2012( kwenye ligi) , Lakini goli la Torres ambaye hakuwa na hata goli 10 kwenye ligi lilitosha kuihakikishia chelsea ushindi.


Hizi takwimu zisikutishe, mpira unadunda
 
Kushinda tunaweza shinda ila kubahatisha, hata zile mechi mbili wewe unajua moyoni mwako kuwa tulibahatisha na tatizo letu kubwa ni kule mbele tu, tukimpata kane au level ya Kane Chelsea ni bonge la timu
Anapaswa aletwe striker wa nguvu ili awa-challenge madogo!
 
Watu kama nyinyi ingekuwa ni jeshini unapigwa risasi, mwanajeshi gani unaenda vitani huku unaogopa kufa?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mpaka hapa

Man city 1-0 Chelsea

Tushawafunga hata uwanjan hatujaingia
 
Yaan kesho mkipona aisee...

Chelsea kutufunga kesho itakuwa maajabu ...

Yaan kesho ngoma tunaimaliza 1HT
 
Hivi unajua Lionel Messi alifunga goli 50 Mwaka 2012( kwenye ligi) , Lakini goli la Torres ambaye hakuwa na hata goli 10 kwenye ligi lilitosha kuihakikishia chelsea ushindi.


Hizi takwimu zisikutishe, mpira unadunda
Ni kweli but elewa pia bahati ilikuwa upande wetu! Imagine mechi mbili in a row, semi and final stages wapinzani wa Chelsea walikosa penati 4. Si jambo la kawaida. Halafu penati 2 kati ya hizo zilisababishwa na mtu mmoja ambaye pia ndiye magoli yake yalisababisha ubingwa kwa Chelsea, Didier Drogba (The beast!)
Mechi ya kesho, ushindi kwa Chelsea utapatikana kwa bahati ikiwa madogo wataendekeza ujinga wa kukosa magoli ya wazi na pia kuotea mara kwa mara.
 
Ingekuwa defense na kipa wetu ni tia maji ningekubaliana na hiki ulichoandika hapa.
 
Kushinda tunaweza shinda ila kubahatisha, hata zile mechi mbili wewe unajua moyoni mwako kuwa tulibahatisha na tatizo letu kubwa ni kule mbele tu, tukimpata kane au level ya Kane Chelsea ni bonge la timu
Match ya kwanza ambayo hata kina Debruyne walicheza wala hata hatukubahatisha. Match ya pili labda ndio walitukosakosa.
 
Wenzio nyumbu hawajaamini mbele ya viralleal we nenda na matokeo yako Tu[emoji23]
Kudadeki kesho tunapress mpaka mtajuta kuingia uwanjan ...


Yaan mtajuta kwanini mlipanda ndege kuja Porto ...

Tunaenda kuwapelekea moto mzitoo...

Man city 3-1 chelsea


Come on city
 
Andaa machozi kama ndugu zako man u
Chelsea hakuna timu pale ...

Villa kajipigia ,..

Kesho tunawasokomeza goli 6,mtajuta kuingia uwanjan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kesho tunapigwa goli swaafi kabisa, hatuna uwezo wa kumpiga city(labda bahati iwe upande wetu)
 
Chelsea hakuna timu pale ...

Villa kajipigia ,..

Kesho tunawasokomeza goli 6,mtajuta kuingia uwanjan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumestruggle Kwa timu za kupaki basi maana kule mbele kufunga Kwa forward zetu ni kipengele....Ila Nyie mnafunguka na kupossess mpira ...mara cjui mna high press mtalia yaan mkifanya hvyo nakuambia mtalia mapema[emoji23] unless mpaki basi kama kina Aston villa...maana ni mipira ya mbele Kwa timo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…