Wewe ulipigwa nyekundu dhidi ya tottenham ukasokomezwa mara 6. Naona unesahau.Sisi Silva alipigwa Nyekundu tkala 5 tukasema kadi imetugarimu...... asa uyu mzee leo kapigwa Nyekundu mbele ya city na kashinda aise Huyu Tumchele tumepigwa. [emoji706][emoji706]
Mzee Una mashaka na Tuchel? Ile ilikuwa bad day tuTuchel ajifunze kwa mwenzake wa Leeds United. Mazingira yale yale ya ushindi wa goli moja muda mchache anatolewa beki wa kutumainiwa na bado walilinda goli na kuongeza la pili ndani ya shuti mbili tu langoni
Wewe ulipigwa nyekundu dhidi ya tottenham ukasokomezwa mara 6. Naona unesahau.
Tuchel ajifunze kwa mwenzake wa Leeds United. Mazingira yale yale ya ushindi wa goli moja muda mchache anatolewa beki wa kutumainiwa na bado walilinda goli na kuongeza la pili ndani ya shuti mbili tu langoni
Alisukumiziwa kijiti [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji205]Mkuu umemjibu kibingwa sana[emoji23][emoji23][emoji23].
Alishasahau kama alipigwa SITA (6) na MoRhINhO[emoji2957][emoji2957]
Ngoja nikojoe nikalaleView attachment 1748642
kAi kAraVaTi mmEPigWa[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]