juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Tuchel hawafahamu vizuri Alonso na Kepa, ngoja waanze na matukioXI vs newcastle
Kepa
Azplicueta Christensen Rudiger
CHO jorginho Kovacic Alonso
Mount Werner
Abraham
Amin. Nashukuru sanaPole mkuu
Allah amjalie apate afya njema na apone haraka
Kwa staili hii top 4 tusahau, tupambanie Europa tu! Tuchel bado anatafuta first team kutoka kwa akina Kepa!XI vs newcastle
Kepa
Azplicueta Christensen Rudiger
CHO jorginho Kovacic Alonso
Mount Werner
Abraham
Ebu tusilizie tusianze kutoa lawama kwanza may be kepa karudi kwenye ubora wakeKwa staili hii top 4 tusahau, tupambanie Europa tu! Tuchel bado anatafuta first team kutoka kwa akina Kepa!
Na dua yako imesikiwa. Sema ameniKepa kweli jamani, leo naomba Kepa achomeshe ili TT amjue vizuri.
Sijapenda ht kdg Kepa kuwepo.
Ila performance yake ipo juuHivi huyo Kovavic huwa ana miguu ya kike anapopiga shuti
b. Sawa ila sio aChelsea haina Qualified key players
a. Winga
b. Namba 10
Kwa staili hii top 4 tusahau, tupambanie Europa tu! Tuchel bado anatafuta first team kutoka kwa akina Kepa!
Nakubali sana damu yangu. Utanipa updates mimi aitaangalia nauguliwa na mzee wangu tuko hospitali.
Best wishes The Blues[emoji838][emoji838][emoji838]
ushabiki ugoroKwa staili hii top 4 tusahau, tupambanie Europa tu! Tuchel bado anatafuta first team kutoka kwa akina Kepa!