Fake news, hata hawakakuweza kuiframe vizuri uongo wao, Sababu za UongoHakim Ziyech ‘wants to leave’ Chelsea. He doesn't 'feel part' of Thomas Tuchel's core plans at the club, and will soon 'seek to hold a meeting' with Marina Granovskaia to sort out his future.
Via [ Sport witness]
Duh hyo Sababu yako haina mashiko😂Sancho is United in blood alidrop kiwango ili apungue bei aje united .. Sancho to Chelsea never to happen anaenda old Trafford
Kwani wachezaji wanapewaga mkataba kwa sababu ya ushabiki? Wachezaji nhuwa wanafuata maslahi hata kama maslahi yatapatikana kwenye rival team wanakwenda huko. Michael Owen alienda Manchester United wakati yeye ni shabiki ndakindaki wa LiverpoolSancho is United in blood alidrop kiwango ili apungue bei aje united .. Sancho to Chelsea never to happen anaenda old Trafford
Kuna mtu kasema tunataka kuingia top 4?. Pambana na timu yako. Acha wivu [emoji23][emoji23][emoji23]Hamuwezi ingia top 4 sababu hiyo nafasi ya nne ni ya westham kwa wiki hii [emoji1787][emoji1787]
Kwani Nani kakuambia tunataka top 4?Hamuwezi ingia top 4 sababu hiyo nafasi ya nne ni ya westham kwa wiki hii [emoji1787][emoji1787]
Kwani Nani kakuambia tunataka point 3 bila penalty?Hii team inabebwa Sana na marefa haiwez chukua points 3 bila penalty
Naww ubebwe na marena[emoji3]Hii team inabebwa Sana na marefa haiwez chukua points 3 bila penalty
Kamzike si amekufa msiba upo wapiHii timu inaua viwango vya wachezaji.
Ziyech.
Ni mmoja wao
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mashabiki wenzangu wa THE BLUES bado tuna mlima mrefu sana kumaliza TOP 4 kutokana na changamoto inayotukabili kwa sasa ya uchache wa ufungaji wa magoli.
Nadhani kwa sasa katika jambo linamuumiza kichwa kocha wetu TT ni jinsi gani atawaboresha wafungaji wetu wafunge magoli mengi.
Nimejaribu kuangalia wafungaji wa timu 7 ambazo zipo kwenye ushindani wa kumaliza top 4
Liverpool - Salah - 17 goals
Man utd - Bruno - 13 goals
Everton - Calvert - 13 goals
Spurs - Kane - 13 goals
Spurs - Son - 13 goals
Leicester - Vardy - 11 goals
Villa - Watking - 11 goals
Safu ya Ushambuliaji The BLUES EPL 20/21
1. Abraham - 6
2. Werner - 4
3. Mount - 3
4. Giroud - 2
5. Odoi - 2
6. Ziyech - 1
7. Harvetz - 1
8. Pulisic - 1
Tunahitaji wafungaji wetu waanze kufunga magoli mengi zaidi kule mbele atleast timu iwe na asilimia kubwa ya kushinda mechi.
Hivi vigoli vimoja vimoja vya Azipu, Jognho (Penati) na Alonso yawe magoli ya nyongeza, kuna siku vitakosekana tuanze kutafutana hapa.
Binafsi naona tuna hali mbaya sana kiufungaji, bado hatuwezi kujigamba tunaweza kutamaliza TOP 4 wakati wafungaji wetu wanakata viuno kule mbele.
Werner, Giroud, Ziyech, Odoi, Pulisic, Abraham waamke usingizini tunahitaji mabao na sio kula mshahara bure.
View attachment 1702252
Tunakuja. Kesho tunakupigia honi Piiiiii!Hamuwezi ingia top 4 sababu hiyo nafasi ya nne ni ya westham kwa wiki hii [emoji1787][emoji1787]
Me naona kabisa Chelsea ana nafasi kubwa ya kuwa no 2 akishinda leo tofauti ya point yake na man u inakuwa 4 man u trending yake si nzuri kila game kwake inakuwa fainalFinishing top 4 By percentagewise
- Manchester City 98%
- Manchester United 78%
- Leicester 60%
- Chelsea 55%
- Liverpool 50%
- West Ham 20%
- Tottenham Hotspur 20%
- Aston Villa 10%
- Everton 4%
- Arsenal 1%
Unachosema ni kweli sema ninachoona kwa foward zetu mweny pressure ni Timo kwa sababu amepata chance nyingi sana, aliye at easy kidogo ni Abraham kwa sababu ya uzoefu wake ndani ya club lakin pia hajapata nafasi nyingi kuanza kwenye kikosi cha kwanza. Ziyech na Pulisic nadhani ni yale majeraha yaliwaondoa kwnye zile form walizokua nazo.Mashabiki wenzangu wa THE BLUES bado tuna mlima mrefu sana kumaliza TOP 4 kutokana na changamoto inayotukabili kwa sasa ya uchache wa ufungaji wa magoli.
Nadhani kwa sasa katika jambo linamuumiza kichwa kocha wetu TT ni jinsi gani atawaboresha wafungaji wetu wafunge magoli mengi.
Nimejaribu kuangalia wafungaji wa timu 7 ambazo zipo kwenye ushindani wa kumaliza top 4
Liverpool - Salah - 17 goals
Man utd - Bruno - 13 goals
Everton - Calvert - 13 goals
Spurs - Kane - 13 goals
Spurs - Son - 13 goals
Leicester - Vardy - 11 goals
Villa - Watking - 11 goals
Safu ya Ushambuliaji The BLUES EPL 20/21
1. Abraham - 6
2. Werner - 4
3. Mount - 3
4. Giroud - 2
5. Odoi - 2
6. Ziyech - 1
7. Harvetz - 1
8. Pulisic - 1
Tunahitaji wafungaji wetu waanze kufunga magoli mengi zaidi kule mbele atleast timu iwe na asilimia kubwa ya kushinda mechi.
Hivi vigoli vimoja vimoja vya Azipu, Jognho (Penati) na Alonso yawe magoli ya nyongeza, kuna siku vitakosekana tuanze kutafutana hapa.
Binafsi naona tuna hali mbaya sana kiufungaji, bado hatuwezi kujigamba tunaweza kutamaliza TOP 4 wakati wafungaji wetu wanakata viuno kule mbele.
Werner, Giroud, Ziyech, Odoi, Pulisic, Abraham waamke usingizini tunahitaji mabao na sio kula mshahara bure.
View attachment 1702252
Boateng 32Chelsea plot surprise Eriksen-Jorginho swap deal with Inter
New Chelsea boss Thomas Tuchel is seemingly planning to plan his attack around Christian Eriksen.