Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Binafsi sijawahi kumfatilia sana tuchel, ila kama boss ameangalia mafanikio ya PSG kupitia Tuchel bc tumepigwa tena mana PSG ipo kwenye ligi isiyokuwa na ushindani mkubwa.
 
Timo na kai

Ni wavivu tu ,hawajitumi

Wamesababisha lampard kufukuzwa

Pumbavu

Huyo kocha kashindwa kuwa mnanage mbape ,naymer ataweza hizo takataka kina tomo na kai

Chelsea tatizo ni wachezaji ,sio kocha
 
Timo na kai

Ni wavivu tu ,hawajitumi

Wamesababisha lampard kufukuzwa

Pumbavu

Huyo kocha kashindwa kuwa mnanage mbape ,naymer ataweza hizo takataka kina tomo na kai

Chelsea tatizo ni wachezaji ,sio kocha
Acha Tuchel apewe nafasi ndo tutajua Tatizo ni wachezaji now hatuwezi kabisa kum judge TT
 
Aisee nyie huyu siku hizi formation yake ni 4 2 4 ndiyo maana unaona alikua anapigwa sana kaunta.

Jichanganyeni.
 
Leo ninafuraha ya ajabu kabisa nimeamua kutoa offer kwa familia yangu kwa maamuzi sahihi aliyofanya Abramovic na board ya Chelsea mashabiki tumeteseka Sana na Lampard Leo hii maombi yetu Mungu ameyasikia

#Hiindiochelseatunayoijua
Sasa mbona umekasirika nilivyosema hii ndiyo chelsea ninayoijua?
 
Tuchel hajawai kuwa bonge la kocha

Nawatafutia angle nzuri nishushe nondo.
Timu ndogo kweli ni timu ndogo tu
 
Tuchel ameishindwa psg yenye kila kitu ataiweza Chelsea ???

League 1 Ni sawa na championship tu pale England ,,,, !!!

Time will tell , Hana jipya huyu mjerumani
 
Kwa maelezo haya Lampard kapelekwa mkopo ili akajinoe, Atarudi tu kumalizia kazi aliyoanza
 
Kwenye hilo hata mimi namuunga mkono Tuchel, huwezi letewa mandazi halafu bodi ikutake uwape chapati
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…