Nakusubiri kwenye ligiHahahaha unasemaje mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee hao wote pulisic na Werner si wanapangwa winger...Tangu lini Mount kacheza no. 10? na Pulisic au Werner anacheza namba ipi?
hahaaaaaChelkengeeeeee!
dah hii picha inachekesha sanaNa sisi wachezaji tunasema Lampard uondoke kwa kuwa umeshindwa kuongoza kikosi kwa mbinu zako za ovyo, kila tukienda kwenye vita tunatekwa na kupigwa kipigo kikali.
Mbinu zako hafifu zinatuvunja moyo tumekata tamaa ya kusonga mbele. View attachment 1672413
Mshaanza utoto tayari...Rowe #10 kai #10
Rowe mmoja sawa sawa na tipa mbili za kai
Saka #7 na pia ni kilaka Ziyech #7 sio kilaka
Saka mmoja sawa sawa na ziyech buku
Nketia #9 Werner #9
Hawa viwango wapo sawa
Arteta head coach lampard head coach
Kichwa kimoja cha arteta = vichwa 9.5 vya lampard
Kesho mnashinda, kupunguzwa machungu kwenye ligi ndio tutaoneshana makali
Kipindi mna loose ulikuwa wapi kutoa hizi hesabu🤔Rowe #10 kai #10
Rowe mmoja sawa sawa na tipa mbili za kai
Saka #7 na pia ni kilaka Ziyech #7 sio kilaka
Saka mmoja sawa sawa na ziyech buku
Nketia #9 Werner #9
Hawa viwango wapo sawa
Arteta head coach lampard head coach
Kichwa kimoja cha arteta = vichwa 9.5 vya lampard
Kesho mnashinda, kupunguzwa machungu kwenye ligi ndio tutaoneshana makali
Rudiger bado anajisahau na kucheza out of position, Mbele bado butu sana, ingekuwa ni EPL team tungekuwa bado tunasota kutafuta goli. Werner hana confidence kiasi kwamba hata pasi zake sasa ni za hovyoFa cup
XI vs morecambe
Kepa
Azp zouma rudiger emerson
Mount gilmour havertz
Ziyech werner odoi
No. 10 huwa ndio position ipi ndg. Mimi kwa ufahamu wangu no. 10 ni wide winger na Pulisic pamoja na Werner huwa wanacheza hiyo namba ambayo ndio Hazard alikuwa akicheza. Na kwa ufahamu wangu mdogo wa Football najua kuwa Mason Mount anacheza na. 8 ambayo ndio Lampard alikuwa akicheza. Na. 8 kwa formation nyingi ikiwemo 4-3-3 ni Attacking MF inayochezwa kutokea kushotoMzee hao wote pulisic na Werner si wanapangwa winger...
AiseeeNo. 10 huwa ndio position ipi ndg. Mimi kwa ufahamu wangu no. 10 ni wide winger na Pulisic pamoja na Werner huwa wanacheza hiyo namba ambayo ndio Hazard alikuwa akicheza. Na kwa ufahamu wangu mdogo wa Football najua kuwa Mason Mount anacheza na. 8 ambayo ndio Lampard alikuwa akicheza. Na. 8 kwa formation nyingi ikiwemo 4-3-3 ni Attacking MF inayochezwa kutokea kushoto
Kinachomkwamisha pulisic ni injury zake, yeye na muhimbili ni kucha na kidoleHii team inaua vipaji vya watu tu hamna jipya zaidiView attachment 1674594
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app