Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Shida ya James utaiona siku tukicheza na timu inatushambula zaidi. Ni mgumu sana kurudi ku cover gapsSame to reece james wa msim huu sio yule wa msim uliopita.
Reece kaimprove kwenye kukaba, kwenda mbele na kushusha majalo ni yule yule at his bestSame to reece james wa msim huu sio yule wa msim uliopita.
Nasubiri hiyo mechi Chelsea na Arsenal, tahadhari hatutaki porojo za refa sijui kafanyaje km kawaida yenuTukisemaga kuhusu Arsenal tunaonekana kama wakorofi haya mambo yanajidhihirisha yenyewe. Arsenal 0-3 Aston Villa
umepata wapi nguvu ya kuwa online mda uu wenzio wako kwenye matanga ukoNasubiri hiyo mechi Chelsea na Arsenal, tahadhari hatutaki porojo za refa sijui kafanyaje km kawaida yenu
we mbea naona ulikuwa unasubiri kwa hamu sn ili uongee,nikwambie tu ww hakuna mkubwa yoyote utamfunga.Katika list ya wacheezaji waliotengeneza nadasi nyingi za goli katika mechi moja kuna wachezaji watatu wa Chelsea.
Most chances created in a single Premier League game this season (all six):
◉ Hakim Ziyech (H) vs Sheff Utd
◎ Ross Barkley (A) vs Arsenal
◎ Reece James (A) vs West Brom
◎ Bruno Fernandes (A) vs Newcastle
◎ Kevin De Bruyne (A) vs Wolves
60% owned by Chelsea.
Hii nayo ni fake ID ya Southern Highland [emoji1787][emoji23][emoji119]umepata wapi nguvu ya kuwa online mda uu wenzio wako kwenye matanga uko
unajichekesha na umetoka kula 3 jana2 unajsahaulishaHii nayo ni fake ID ya Southern Highland [emoji1787][emoji23][emoji119]
Mnawafunga vibonde munatamba.Blues tunafunga sanaaa ni mwendo wa kuwakeraaa tu natamani pulisic acheze ata mechi 10 mfululizo tuongezeze kero mjini .
Hao vibonde mbona huwafungi? Kina crystal palaceMnawafunga vibonde munatamba.
Endeleeni kutamba.
Mnawafunga vibonde munatamba.
Endeleeni kutamba.
Ipo siku mtanielewa katika swala la Tammy. Hebu angalia alivyotumia udhaifu wa mabeki kwa kujiposition vizuri kwenye space ya kutosha. Angekua striker mwingine au yule Tammy wa zamani angeenda naye kwa wale mabeki watatu ili asubiri cross ya Kova kuja golini.
Proffesionalism at its best. Dogo ana improve sana hata yale malalamiko kumhusu yeye siku hizi yamepungua.
Holla Blues[emoji838][emoji838][emoji838]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unamfuatilia vizuri anazidi ku improve sana. Unamuona miguu imelegea kwa sababu ya urefu wake ila ni moja katiya madogo wenye stamina EPL.Huyu Tammy miguu imelegea sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unatafuta maumivu siyo bure. Yan kwa ubovu wako wewe nitakugongesha vibaya mno. Inua kiwango kwa timu za aina ya Villa ukija kwangu nisikupige nyingi otherwise unanitafutia lawama nionekane mbaya kwa watoto kama nyie.Nasubiri hiyo mechi Chelsea na Arsenal, tahadhari hatutaki porojo za refa sijui kafanyaje km kawaida yenu
Mi na deal nawadogo kama wewe Arsenal na the likes. Wakubwa wenzangu nitaangalia nafanyajewe mbea naona ulikuwa unasubiri kwa hamu sn ili uongee,nikwambie tu ww hakuna mkubwa yoyote utamfunga.
Sizikii sauti za Lampard out, ila mukifungwa mechi mbili tu, tayari Lampard mchawi. Tena hasa wewe PAPAA GX.Hao vibonde mbona ww una shidwa kuwafunga.??
Kacheza mechi chache mno na sasa unamuona anacheza ni kwa sababu Pulisic hayupo ndio maana Timo anacheza kushoto dogo anasimama kati. Nadhani akipata playing time ya kutosha wote mtakubali Tammy ni potential kubwa sana.Urefu wake autumie vizuri kwenye kujifunza kupiga header kama Peter crouch. Chilwel, James, Ziyech wanapiga cross nyingi sana hazina umaliziaji mzuri wa vichwa.
Unasema kweli, Tammy angetumia urefu wake Angefunga magoli mengi sana ya kichwaUrefu wake autumie vizuri kwenye kujifunza kupiga header kama Peter crouch. Chilwel, James, Ziyech wanapiga cross nyingi sana hazina umaliziaji mzuri wa vichwa.