Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kocha wa Napoli kapunguza idadi ya magoli..natamani Lavezzi na Hamsik wangebaki mpaka mwisho!!
poleni sana chelshit!!
 
We can still turn things around, 2-0 at the Bridge is very possible.
Come on you Blues!
KTBFFH
 
Naam, ni kilio na kusaga meno tuu, hatueleweki kama Jamhuri fulani ya Ubabaishaji!
 
We can still turn things around, 2-0 at the Bridge is very possible.
Come on you Blues!
KTBFFH

pole sana mkuu huyu cavani ni hatari sana we acha tu tulimchekea tukaishia kwenye makundi na nyie the same story ngoja tuone hiyo second leg ipo vipi...
 
Hizo Liva na man u zipo wapi sasa????? Things do change....
Tafazali hiyo makitu hakikisha unaiwekea mared.... usijali ligi haijaisha na inshallah mwakani mtatujua sisi ni nani inapokuja UCL.
 
Mkombozi wa EPL kwenye UCL ni Liverpool na labda kidogo Manure.

Wengine saizi yao ni kina Bolton, Sunderland, Wigan et el.
 
Duuh! Darajani kuna nn wajamen?...polen wakuu..
 
Tafazali hiyo makitu hakikisha unaiwekea mared.... usijali ligi haijaisha na inshallah mwakani mtatujua sisi ni nani inapokuja UCL.
Liva mwakani hata haichezi Uefa ndogo...labda mjitahidi mwaka huu mchukue Carling Cup!!
 
Liva mwakani hata haichezi Uefa ndogo...labda mjitahidi mwaka huu mchukue Carling Cup!!
Ngoja tusubiri tuone.... Chelshit na AssesNo wana jeuri ya kutuzuia?...Think Rejao, Think! Ligi bado sana hii na vijana wanazidi kuonana.
 
Ngoja tusubiri tuone.... Chelshit na AssesNo wana jeuri ya kutuzuia?...Think Rejao, Think! Ligi bado sana hii na vijana wanazidi kuonana.
Nyie nyanya tu....timu haina consistency...inafunga timu kubwa, ikikutana na timu zinazoshuka daraja inanyukwa!!
Liva zamani bana, siyo hii ya akina Carol!
 
Nyie nyanya tu....timu haina consistency...inafunga timu kubwa, ikikutana na timu zinazoshuka daraja inanyukwa!!
Liva zamani bana, siyo hii ya akina Carol!

bora umeliona hilo..
 
Naam, ni kilio na kusaga meno tuu, hatueleweki kama Jamhuri fulani ya Ubabaishaji!

Rev. Kishoka umepotelea wapi wewe? Yaani unaibuka kwenye masuala ya Chelsea tuu ina maana wewe mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yetu umeuweka kando unapambania mustakabali wa Chelsea ?

Haya Kamanda, usipotee sana tunakuhitaji sana hapa jamvini.
 
Marefa (kama Webb) na waandishi wa habari wanachangia kuiharibu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…