Hawa jamaa waliwahisema wako tayari kumnunua Modric kwa pesa wakichanganya na Sturridge, sijui bado ofa ipo pale pale. Kama ipo tunakubali, huyu bwana mdogo kila siku azidi kwenda juu. Akiendelea hivi atakuwa hatari huko mbele ya safari.mkuu pole ila kwenye defense wala huwezi kuwalaumu aisee, that move was classic, tunamuomba sturridge wakuu
Hahahaha! asante ndg yangu mkulima...uzur unajua kua najua kua unajua....final scores says more than these words...uwe na siku njema ya kufungua maboxi ewe mbeba maboxi.
mkuu pole ila kwenye defense wala huwezi kuwalaumu aisee, that move was classic, tunamuomba sturridge wakuu
hahahaha! japo ndo siku yenyewe ya kufungua mabozi, naogopa nisijepewa P45 kabla ya mwaka mpya, hahahahahaa!!!! Eq yuko wapi siku hizi, sijamwona tangu 1-6, yuko hai!!
Poleni jirani, wenzenu walivuna hapo nyie imekuwaje?. Bado mmo kwenye mbio au ndio mnanyanyua mikono mapema?
Hahaha! yule bro angu kwa kwel sina majibu ya harakaharaka juu yake...ila ka alikuja 'kula' xmas bongo, nna mashaka kama hajabebwa na mafuriko haya..lmao!
Hahaha! yule bro angu kwa kwel sina majibu ya harakaharaka juu yake...ila ka alikuja 'kula' xmas bongo, nna mashaka kama hajabebwa na mafuriko haya..lmao!
Chelski, tunawashukuru rasmi kwa kuwaachia the gunners kuwa juu yenu kesho, kwenye nafasi ya nne!
Cheers Blues! You guys are very kind, thanks again!
Chelsick are still struggling with Malaria plus plus ππ...Poleni Wakuu wa jukwaa hili.
hahaha, huyu jamaa anapenda sana Malaria!! What's your specialization in the malaria world, immunology, vaccinology, mol biology, parasitology, entomology, drug trials/resistance....or what?!!!! au unapenda tu malaria?!
Hahahahaha lol! Mie napenda tu Chelsick wapone kabisa Malaria yao ili waanze kufanya vitu vyao kama wanavyotarajiwa na siyo kutoa sare na timu kama Fulham ππ
Well said Peasant.
Best of lucky katika CL...for sure, from UK...am only supporting u fellas, to hell with Gonaz.