mount ndo first time kucheza pro league so uwezi tegemea ata kuoffer vitu vingi kma other experienced players ,,mashabiki wengi wanataka madogo wawe wanaperfom kma wachezaji wakubwaYaani roho inauma sana hasa pale mnapomtaja Mount hivi huyu Dogo hata 120min Anaweza kucheza kweli mbona uwezo wake ni wa kawaida sana
Jamani embu tuwe serious kwenye football
Hawa ni kuwatoa tu mapafuYes tunaogopesha, let's go blues View attachment 1367739
We kiazi hamna kitu unajua wewe.
mkuu kuna mwingne unakuta anamchukia mchezaji kisa jina au muonekano wakeHahahah hivi barkley angefunga ule mpira uliogonga mwamba usingeshangilia?
Jamaa yangu unamchukia sana barkley.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri zako zaja....Chelsea siyo arsenal.
Hivi huwa mnajisikiaje mkizikumbuka zile goal 10?
Sent using Jamii Forums mobile app
chini ya super Frankie hakuna kitakachoharibika we endelea tu kujishaua
Story ina fundisho hata katika maisha ya kawaida japo wengi wataona kama utani. Ila kwa mechi ya kesho nina imani kubwa na timu yangu. Sijui kitakachotupata huko kwao ila darajani shughuli wanayo.Baada ya uchovu wa majukumu ya leo ngoja niwape stori flani kuelekea mechi yetu na Bayern.
Mwaka 2010 nikiwa arusha maeneo ya mnara wa mwenge, maduka flani upande wa chini yanayotazamana na makaburi, njia ya kuelekea polisi.
Siku hiyo ilikuwa jumamosi mida ya saa 1 asubuhi. Mimi na baba yangu mdogo tulikuwa tumesimama nje ya duka lake tunapiga stori.
Kwa kipindi hicho ilikuwa kila siku ya jumamosi wamiliki wa mbwa majumbani walikuwa wanapeleka mbwa wao kule polisi kuoshwa na huduma nyingine.
Kwahiyo mida hiyo mbwa wengi walikuwa wanapitishwa na vijana kwenda huko polisi, tukasikia sauti kwa mbali jamaa anasema "FUKUZENI HUYO MBWA KOKO HAPO TUPITE, TUSIJE TUKAMUUA BURE", jamaa walikuwa ameshika minyororo ya mbwa wawili wakubwa sana kama ndama wanatisha, yanataka kukata mnyororo kwa hasira.
Kweli pembeni yetu alikuwa amelala mbwa wa pale mtaani hana makazi ya kudumu huwa anazungukaga tuu maeneo hayo tulishamzoea, mara alale chini ya magari parking, vibarazani.
Baba mdogo akamjibu wale jamaa "AMUENI MTAKALOFANYA HUYU MBWA ATAJAZA MWENYEWE"
Yule jamaa akajibu sawa ngoja mzee tumuonyeshe rangi zote, bwana akaachia mnyororo wa limbwa limoja likawa linakuja kwa kasi kumfuata huyu mbwa wetu. Ikabidi tukimbie pembeni tuone movie.
Yule mbwa wa mtaani alivyoona lile limbwa linakuja kwa kasi akasimama akamcheki, akanguruma kwa hasira, aisee huyu mbwa wa mtaani alimpokea kwa kumrukia shingoni, wakaamguka chini, alimvuruga kwenye mavumbi tukasikia mlio wa maumivu.
Lile limbwa la jamaa likatoka baruti likarudi kwa wale jamaa. Nikasikia wale jamaa wanasema eeh eeh eeh hatareee huyo mbwa ni noma, jamaa wakavuka upande wa pili wanaenda huku wanajeuka nyuma hawaamini kilichotokea.
Kilichofuata ni pongezi kwa yule mbwa wetu wa mtaani, tunamdharau kumbe vita anaviweza. Nakumbuka kuna mzee alipita akasema leo naenda moshi naombeni mnikamatie huyu mbwa nimpeleke moshi nikamfuge hakiamungu mwizi hatakanyaga kwangu. Hahahaha
Mwache BAYERN aje kibabe tutakachomuonyesha rangi zote stanford, tutamchanachana vipande atatoka na kilio cha uchungu.
Malizana na Madrid kwqnza ndio uje kuanza kuleta porojo humu.Mimi naamini sana kupitia Etihad
Kaka Bayern level nyingine huwezi fananisha na Valencia -ajax hawa wote ni underdog kwake Pamoja na chelsea
Barkley kuna wakati anakua uwanjani utafikiri hayupo. Yan anakua mzigo dhidi ya wenzake. Lakini kuna baadhi ya game anakua active dakika zote 90' kama ile game ya Tot. Sasa unajiuliza huyu mtu alikua anashindwa nini kufanya ivyo siku zote? Hata Willian naye anakuwaga ivyo sometimes.Ila mimi ninampenda Barkley, ana touches chache lakini za uhakika. Barkley kakomaa kidogo akicheza na Willian na Giroud tunaweza wasumbua kule mbele
kitu kinaniuzi Mimi ni kwanini kila kitu Mount mnataka kusema Chelsea imefika stage ya kutegemea mchezaji mwenye uwezo wa kati kama mountmount ndo first time kucheza pro league so uwezi tegemea ata kuoffer vitu vingi kma other experienced players ,,mashabiki wengi wanataka madogo wawe wanaperfom kma wachezaji wakubwa
Kitu kma hicho ndo kilimuondoa sancho man city,de bryune Chelsea
So we have use what we have ata kama bado havijakomaa at the end of the day watakua wazur
Kaka kesho tukutane hapa hapaWanaume tumekaa tunajadili mambo ya timu yetu, wewe unapita mbele yetu na kanga moja imelowa maji huku unatingishia wowowoo.
Mwanangu Madrid sina wasiwasi Nae forward yenyewe benzema sasa hapo si sawasawa na kutupa Bomu MONCHWALI
unategemea ulicho nacho ,huwez tegemea mchezaji mkubwa ambaye huna kwa wakati huokitu kinaniuzi Mimi ni kwanini kila kitu Mount mnataka kusema Chelsea imefika stage ya kutegemea mchezaji mwenye uwezo wa kati kama mount
sasa hamuoni mnatuaminisha kwamba mpo tia maji tia maji kakaunategemea ulicho nacho ,huwez tegemea mchezaji mkubwa ambaye huna kwa wakati huo
Sawa mkuu ila kwa Beyern the blues sio mbwa koko kabisa Chelsea is great team the history is on our side tutaweka real resistance I promise you Beryen itatukubali tu........Baada ya uchovu wa majukumu ya leo ngoja niwape stori flani kuelekea mechi yetu na Bayern.
Mwaka 2010 nikiwa arusha maeneo ya mnara wa mwenge, maduka flani upande wa chini yanayotazamana na makaburi, njia ya kuelekea polisi.
Siku hiyo ilikuwa jumamosi mida ya saa 1 asubuhi. Mimi na baba yangu mdogo tulikuwa tumesimama nje ya duka lake tunapiga stori.
Kwa kipindi hicho ilikuwa kila siku ya jumamosi wamiliki wa mbwa majumbani walikuwa wanapeleka mbwa wao kule polisi kuoshwa na huduma nyingine.
Kwahiyo mida hiyo mbwa wengi walikuwa wanapitishwa na vijana kwenda huko polisi, tukasikia sauti kwa mbali jamaa anasema "FUKUZENI HUYO MBWA KOKO HAPO TUPITE, TUSIJE TUKAMUUA BURE", jamaa walikuwa ameshika minyororo ya mbwa wawili wakubwa sana kama ndama wanatisha, yanataka kukata mnyororo kwa hasira.
Kweli pembeni yetu alikuwa amelala mbwa wa pale mtaani hana makazi ya kudumu huwa anazungukaga tuu maeneo hayo tulishamzoea, mara alale chini ya magari parking, vibarazani.
Baba mdogo akamjibu wale jamaa "AMUENI MTAKALOFANYA HUYU MBWA ATAJAZA MWENYEWE"
Yule jamaa akajibu sawa ngoja mzee tumuonyeshe rangi zote, bwana akaachia mnyororo wa limbwa limoja likawa linakuja kwa kasi kumfuata huyu mbwa wetu. Ikabidi tukimbie pembeni tuone movie.
Yule mbwa wa mtaani alivyoona lile limbwa linakuja kwa kasi akasimama akamcheki, akanguruma kwa hasira, aisee huyu mbwa wa mtaani alimpokea kwa kumrukia shingoni, wakaamguka chini, alimvuruga kwenye mavumbi tukasikia mlio wa maumivu.
Lile limbwa la jamaa likatoka baruti likarudi kwa wale jamaa. Nikasikia wale jamaa wanasema eeh eeh eeh hatareee huyo mbwa ni noma, jamaa wakavuka upande wa pili wanaenda huku wanajeuka nyuma hawaamini kilichotokea.
Kilichofuata ni pongezi kwa yule mbwa wetu wa mtaani, tunamdharau kumbe vita anaviweza. Nakumbuka kuna mzee alipita akasema leo naenda moshi naombeni mnikamatie huyu mbwa nimpeleke moshi nikamfuge hakiamungu mwizi hatakanyaga kwangu. Hahahaha
Mwache BAYERN aje kibabe tutakachomuonyesha rangi zote stanford, tutamchanachana vipande atatoka na kilio cha uchungu.
kuwa na youth players haimainishi kuwa timu ni tia maji unaweza ukawa na pro player'ssasa hamuoni mnatuaminisha kwamba mpo tia maji tia maji kaka
Coz mount or abraham Mimi nafikiri hata Bayern B hapati namba mzee
sawa kaka tuache quality ya wachezaji ndiyo hiamue mechi japo ni kama kichekeshokuwa na youth players haimainishi kuwa timu ni tia maji unaweza ukawa na pro player's
Kama unakumbuka nusu final ya uefa2012 Chelsea kikosi kilikuaje ukilinganish na cha Barcelona ,, Chelsea alikuw na kikosi kibovu lakin akapita so at the end tunaangalia matokeo utakayo pata haijalish una timu gan
Malizana naye kwanza ndio uje huku.Mwanangu Madrid sina wasiwasi Nae forward yenyewe benzema sasa hapo si sawasawa na kutupa Bomu MONCHWALI
kikao kitaanza saa 07:07 usiku na wote muje aisee