Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

:lol:Watu hoi stamford bridge! Peasant, this is not pleasant bro!

Peasant ndio anaelekea nyumbani , atafika tu hapa msiwe na wasi wasi.

Walianza kina Invisible na Maxence akaja AB Tchaz,Mvina,Sanda Matuta wakafuatia Wachungaji Masanilo na Kishoka akabaki Mkulima(Peasant) peke yake naona na yeye uzalendo umemshinda

Hahahaha!! Ahsanteni sana wakuu, nipo kama kawaida lakini nilikuwa mbali kidogo.
 
Hahahaha!! Ahsanteni sana wakuu, nipo kama kawaida lakini nilikuwa mbali kidogo.

Karibu mkuu, naona umekuja wakati mambo yamepoaa sio.

Toa maoni yako ya game leo. Vipi kocha atauona mwaka mpya huyu? Si unajua inabidi mfanye maamuzi kabla dirisha dogo hili kocha wenu mpya awatume mtupe offer ya poound mil 100 tuwape Van persie. Kama Torres mlilipa Pound mil 50 najua RVP ana worth double.
 
..."the shadow of Guus Hiddink is back, looming over Stamford Bridge,"...hehehe!​

Naona umerudi kwa kasi baada ya kuanza kushinda, uliishia kutoa thanks na like baada ya 8-2, karibu sana.
 
Reactions: Mbu

game ilikuwa poa, ukiondoa problem kwenye defence, sasa hivi hata beki yetu inafanya makosa mengi sana ya kijinga. Goli la kwanza tumetoa zawadi, na hiyo imekuwa stori yetu msimu huu, ukianglia tuna clean sheet mbili tu, POROUS. Tatizo kubwa ni kubadili mfumo wa kukaba, sasa hivi tunacheza high line defence lakini Terry yuko slow sana kwa set up ya hivyo, matokeo yake kunakuwa na nafasi ya kukimbia nyuma ya beki. Upande wa pili wa uwanja hatumalizi nafasi nyingi tunazotengeza, tuna muda lakini wa kurekebisha mambo.
 
The pressure is mounting ... ..

Kama ndio hivi itabidi nihame timu ... ... Drog the bar ...

Oooops .. .... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
​
 
Reactions: Mbu

Was this a sign of racist couples?

BLAME GAME ... skipper John Terry leads the inquest .... .... its not me .. .

FLOORED ... Terry lies on the turf after Johnson's winner
Chali khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

A bunch of losers ... ...

Trust a meerkat? khe kheeeeeee​
 
Walianza kina Invisible na Maxence akaja AB Tchaz,Mvina,Sanda Matuta wakafuatia Wachungaji Masanilo na Kishoka akabaki Mkulima(Peasant) peke yake naona na yeye uzalendo umemshinda
Mashabiki wa kweli ni Liverpool pekee yetu. Wengine (sio wote) wanafuata ushindi na vikombe
 
Back to back defeats. Naona AVB siku zake zinahesabika sasa. Ni bora Chelsea wang'olewe mapema kwenye Champions League ili efforts zihamie kwa EPL

Mpaka Bayer LeverKusen?? Madrid wanaweza kutupa 7 bila aisee.
 
Street noma kimenuka chelsea,ongea na abramovich we chelsea,maneno haya usipuuze chelsea!
 
Litimu limekuwa mdebwedo kinyama,kila mtu ana gonga tu.Nimepita tu kuwasabalkheri wafiwa.
 
Naona umerudi kwa kasi baada ya kuanza kushinda, uliishia kutoa thanks na like baada ya 8-2, karibu sana.

....nafuatisha masharti ya mganga wangu bana, sivunji mwiko!
Emenalo (yule mnaija mliyemtimua) anawaloga, msipoangali ni vipigo mfululizo mpaka krismasi!!!...
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

MOUNTING QUESTIONS ... for Chelsea
manager Andre Villas-Boas
​
 
BENCHED ... will Tor the res return to face Wolves?
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee £50 million flop ... ...
​
 
My god my god help me .... .... ..... ...
The owl is causing havoc at the cowshed .... ..
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
​
 
Reactions: Mbu
Naona wenyewe wamekimbia sasa kijiwe kinawaka moto ... ... wamebaki wachunguliaji. Money isn't everything, they should learn that by now.
 
Naona wenyewe wamekimbia sasa kijiwe kinawaka moto ... ... wamebaki wachunguliaji. Money isn't everything, they should learn that by now.

Wacha1, where the f**k is PEASANT????!! This is not fair, hatokei ili tusimpe vipande vyake, yuko wapi??????
 
hawa jamaa mbona hawajarudi wakti wanaongoza kwa goli 3 nunge au hawajiamini
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…