Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyo zouma siyo kwamba alipatwa na nini, No makosa yake mengi hufichiwa na tomori ambaye jana alikuwa nje Alafu Emerson bado ni wa muhimu sana upande wa kushoto
 
Katika kila position wakiwepo wachezaji wawili kila mmoja kum Challenge mwenzake itapendeza sana. Yan ile position ya LB aje Chilwell, then RW awepo mtu kama Sancho akimpa moto Willian lazima wajitume sana, mfano katika nafasi ya LW Odoi alipolega Pulisic kachukua nafasi chap na najua huko Odoi anajifua zaidi. Sasa tunao mastraika wa3 lakini kati ya hao hakuna anayetishia nassi ya mwenzie ndio maana kuna kulegalega mno.
 
Huo msitari wa mwisho unachekesha kidogo Kwamba ramaprd afanyie marekebisho kwenye ufungaji afu mfungaji mwenyewe ni batishuay?
 
Sawa mkuu
 
Dah huyo Sancho jana aliuwasha moto... japo wamepigwa 3 na barca....
 
Defence yetu itabalance siku rudiger akirudi...
 
Nimeipenda hii
 
Matarajio yangu yamekamilika 80% mkuu,hapa hizo 20% anazo Lille anakuchapa hapohapo daraja la biskuti....

Road to Futuhi
 
Huyu DullyJr jana kaacha kulala akaishia kirandaranda kwenye uzi wa Chelsea na Liverpool wakati ukimtazama hali yake anatia huruma na anahitaji maombi.
Mkuu ni dhahiri kwamba najijua sipo vizuri ila hiyo sio kufuri ya mimi kushindwa kuwatia njaa,
Napoli bado ni kidume kwako,na huyu Chelsea nae Valencia ndio kabali yake....

Cha kushangaza hawa wanawapa shida mimi na timu yangu mbovu wote nimewapiga hawakufua dafu in & out...na ndio maana navimba ...
 
aluuuu ila kwa sasa hawa madogo wanalikanyaga gozi la ng'ombe kweli kweli, wakiendelea na spirit ya namna hii adi mwisho wa msim huu kwa kweli
 
Ndio maana saa nyingine MOU yuko sahihi
 
Huyu DullyJr jana kaacha kulala akaishia kirandaranda kwenye uzi wa Chelsea na Liverpool wakati ukimtazama hali yake anatia huruma na anahitaji maombi.
Dully anazipenda hizi team hakuna namna yeye hajawai kuona jema namkubali sana anavuotapatapa
 
Huyu DullyJr jana kaacha kulala akaishia kirandaranda kwenye uzi wa Chelsea na Liverpool wakati ukimtazama hali yake anatia huruma na anahitaji maombi.
Mkuu ,huyu si ndio mkali wako...
Lakini mimi nlipiga nje ndani, tena nimechukua
Pt 6
3goals
CS
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…