wewe na valencia ni mabingwa wa nini?hahahahahahaha nimecheka sanaHaya ndio maajabu tunaongelea mashindano mazito kabisa ulaya unaleta vituko tafuta pa kushika huku sio saizi yenu huku ni mabingwa wa ulaya, ukiwa arsenal mitazamo, maisha, akili inakuwa useless
Hahaa ugali kumbe uli china, sasa wamepata tumbo la kuhara
Alitapatapa sana kabla ya kufa. Tugawe chai kwa makini waombolezaji ni wengi jamani! |
Ntakupa elimu utaelewa tu kwenye mashindano kuna mshindi wa 1,2,3 ,Chelsea ni mshindi wa 3 epl pia ni bingwa wa europa msisitizo uko palepale tumia akili za kichwani unufaikewewe na valencia ni mabingwa wa nini?hahahahahahaha nimecheka sana
hili ni povu zitozito ila kamwe halitopindua matokeo ya jana kuwa jamaa wamewatoboa tundu darajani mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....kesi kubwa sana hii,yaani game ya kwanza tu unaachia aaaaaaaaahhh munatudharaulisha majiraniUlimpiga mashindano gani ?unafunga team unajisifu halafu unaishia kufungwa final chuma 4, kuwa serious, Valencia katufunga sisi tulikukanda 4, tumia akili vizuri
wewe toa povu ila ukiamka matokeo yatabakia vilevileNtakupa elimu utaelewa tu kwenye mashindano kuna mshindi wa 1,2,3 ,Chelsea ni mshindi wa 3 epl pia ni bingwa wa europa msisitizo uko palepale tumia akili za kichwani unufaike
Naendelea kujenga nchi ntarudi badae kukupatia elimu.hili ni povu zitozito ila kamwe halitopindua matokeo ya jana kuwa jamaa wamewatoboa tundu darajani mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....kesi kubwa sana hii,yaani game ya kwanza tu unaachia aaaaaaaaahhh munatudharaulisha majirani
Alitapatapa sana kabla ya kufa. Tugawe chai kwa makini waombolezaji ni wengi jamani!
hahahah sasa hapo umekosea sio unajenga nchi sema tu ukweli kuwa unahangaika kuziba tundu lililotobolewa na valencia jana ila hilo usipokuwa makini hutorudi tena hapa maana itakuchukua wiki nzima kulizibaNaendelea kujenga nchi ntarudi badae kukupatia elimu.
FUNGA BAKULI LAKO, KAPIGENI UMBEA HUKO FUTUHI. UEFA TUACHIE MABINGWA BADO MATCH 7 KWENYE KUNDI
hhahahahah ni lazima mupagawe chezea kichapo tena cha home?lazima mujiongezee mechi kudadadek eti bado mechi 7 hizo mechi labda mucheze na NAMUNGO FC, na NJOMBE MJIFUNGA BAKULI LAKO, KAPIGENI UMBEA HUKO FUTUHI. UEFA TUACHIE MABINGWA BADO MATCH 7 KWENYE KUNDI
Huyo ni kiungo wa England National Team iliyofanya vizuri kwenye kombe la dunia na anapata namba huko, Chelsea alicheza Europa akawabamiza, EPL alicheza sana akaiwezesha Chelsea kushika no. 3 timu ya tatu kwa ubora EPL, nyie hata Europa tu mlishindwa, EPL namba 5, hata mickeymous cup hamna. Sasa niambie ni nani pale Arsenal atamnyima namba Ross?hahahhhahha usinichekeshe mkuu, pale Emirates atacheza namba ya nani huyu galasa wenu?
Wakati tukiendelea kuomboleza,tusimsahau mgonjwa aliye hoi hoi ICU ndugu Ollachuga Oc anahitaji maombi yetu. Naendelea kutoa ratiba ya mazishi ni siku ya Jumapili na ibada itaanza 18:30. |
hahahahah usitake kuchekesha walionuna mkuu ndugu yangu Barkley ameachwa mbali sana tena mbali mno na Dani Ceballos mashine ya kazi.....sasa kama huyo tu hawezi kumweka bench atamweka bench Mesut?mkiwa mmechanganyikiwa na matokeo msijiingize katika battle mnajidhalilisha,huyu barkley ni overrated mno tena mnoooooooooooooooooooo na ndio kawaida ya wachezaji wa kiingereza kuwa hivyo nikiangalia mishemishe za Mapinduzi Balama wa pale Yanga huwaga nashangaa sana kwanini hivi vitu vinatokea yaani ila dah......tumwachie MUNGUHuyo ni kiungo wa England National Team iliyofanya vizuri kwenye kombe la dunia na anapata namba huko, Chelsea alicheza Europa akawabamiza, EPL alicheza sana akaiwezesha Chelsea kushika no. 3 timu ya tatu kwa ubora EPL, nyie hata Europa tu mlishindwa, EPL namba 5, hata mickeymous cup hamna. Sasa niambie ni nani pale Arsenal atamnyima namba Ross?
Willian sio wa kumuweka benchi PulisicAnaleta uingereza haiwezekani pulisic anasugua benchi unaingiza garasa
Dk 1 baada ya Zouma kutolewa na kuingizwa Giroud, Chelsea wanafungwa
Dk za lala salama Chelsea wanapata penalty halafu mtu asiyeserious Barkley anagh'agh'ania kupiga penalty badal ya Willian au Jorginho
Yote haya ni makossa ya kocha ngoja tusubiri labda hili la kumuondoa defender na kumuweka mshambuliaji litakoma na pia wapigaji wa penalty kubadilishwa hovyo naman hii litabadilishwa pia
hao walikwishachanganyikiwa mkuu,so tuwavumilie hivyohivyo maana mengi yashangazayo yaja....hahahaha yajayo yanafurahishaZme bak 5 mkuu c o 7
Hahaa.. Maisha haya bhana. Eti leo hii Chelsea inamdhalilisha Arsenal [emoji23][emoji23][emoji23]hili ni povu zitozito ila kamwe halitopindua matokeo ya jana kuwa jamaa wamewatoboa tundu darajani mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....kesi kubwa sana hii,yaani game ya kwanza tu unaachia aaaaaaaaahhh munatudharaulisha majirani