Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Top 3 ya wapi , kepa lini kani prove wrong?Hivi we jamaa huchoki? Huoni aibu mzee? Ni mara ngap Kepsa kakuprove wrong na unakimbia husemi chochote kwake. Rekodi za msimu uliopita alikua top three ya magolikipa ambapo hata Leno hakuwemo. Sasa msimu huu umeanza naona kampeni imeanza tena. Naomba uje umfanyie takwimu mwisho wa msimu pia usimsahau na Leno
Nilitaka nikutoe tongo tongo,Hahahaha Lete hizo data zako kuonyesha Aston villa ametuzidi makombe nijipige ban
Huwezi mfananisha De gea na magarasha.
[emoji23][emoji23][emoji23]Top 3 ya wapi , kepa lini kani prove wrong?
Usimfananishe kepa na Leno mikono buku
Hivi Mara ya mwisho kupata cleansheet kepa ni lini?
Kepa ndio kipa ambaye hata Chelsea ikicheza na GWAMBINA YA PASTA ATHANAS INA uhakika wa kuondoka na goli.
View attachment 1202790
De Gea had 69% in worst ever season for United. Kepa actually had 68% last season and faced less shotsHuwezi mfananisha De gea na magarasha.
De gea is the best.
Arsenal ilisharejea siku nyingi, HONGERA!Kumbe unabishana? Ndio maana hunaga hoja
Chelsea ni timu ndogo ,ndio maana sasa inarejea ilipotoka
Chelsea hata kimafanikio humkuti Astonvilla
Nakupa homework katafute. ,Most succesfull teams in the world.
Chelsea haipo hata 20 bora
Huyu huwa anavuta kwanza ndio anakuja kuchafua kambi, mwacheni hivyo alivyoTop 3 ya wapi , kepa lini kani prove wrong?
Usimfananishe kepa na Leno mikono buku
Hivi Mara ya mwisho kupata cleansheet kepa ni lini?
Kepa ndio kipa ambaye hata Chelsea ikicheza na GWAMBINA YA PASTA ATHANAS INA uhakika wa kuondoka na goli.
View attachment 1202790
Kabla KEPA hakupewa goli, DeGea alifululiza kutobolewa na mojawapo kubwa ni pale Spain walipofungwa 3-2 na England pamoja na Croatia, Mnaongea kama vile wazee wa 140yo waliopoteza network, poleni sanaHili Katu hawatalisemea kuwa lilitokea! Kepa alipogaiwa Kagemu kamoja walianza Kelele kuwa Ameshampokonya Namba De Gea.
Lakini mwenye Timu aliporudi mjengoni wameufyata wote.
Wanasubiri siku Nyengine Kepa agaiwe tena kijigemu wanze kubwabwaja.
Top 3 ya wapi , kepa lini kani prove wrong?
Usimfananishe kepa na Leno mikono buku
Hivi Mara ya mwisho kupata cleansheet kepa ni lini?
Kepa ndio kipa ambaye hata Chelsea ikicheza na GWAMBINA YA PASTA ATHANAS INA uhakika wa kuondoka na goli.
View attachment 1202790
Leno ni level ya Alisson na King Ngwaba hili analiafiki kabisa!????????????
Statistically Leno hayuko hata kwenye 10 bora ya 2018/19 hata kwenye zile blogu za porojo hayupoTop 3 ya wapi , kepa lini kani prove wrong?
Usimfananishe kepa na Leno mikono buku
Hivi Mara ya mwisho kupata cleansheet kepa ni lini?
Kepa ndio kipa ambaye hata Chelsea ikicheza na GWAMBINA YA PASTA ATHANAS INA uhakika wa kuondoka na goli.
View attachment 1202790
| PLAYER | TEAM | CLEAN SHEETS |
|---|---|---|
| Allison | Liverpool | 21 |
| Ederson | Manchester City | 20 |
| Kepa | Chelsea | 14 |
| Pickford | Everton | 14 |
| Lloris | Tottenham | 12 |
| Dubrawka | Newcastle United | 11 |
| Etheridge | Cardiff City | 10 |
| Schmeichel | Leicester City | 10 |
| De Gea | Manchester United | 7 |
| Foster | Watford | 7 |
Wewe huwa ni nani na claims zisizo na ushahidi?Nawahakikishia kwa Asilimia 101% Kepa hatomueka bench De Gea
Kugaiwa game ya juzi aanze haimaanishi kuwa ndiyo Kipa Namba moja.
Hata Pepe Reina kuna game alikuwa akigaiwa aanze mbele ya Casilas then De Gea
Wewe huwa ni nani na claims zisizo na ushahidi?
Moreno mwenyewe kasema kwa sasa hana no. 1, makipa wote watacheza kulingana na mechi, sio Degea wala Kepa japokuwa Kepa kadaka mechi nne mfuluylizo wakati wewe uansema kagemu kamoja. Hizi comments zako ndizo zinazokufanya usomeke ulivyo
Moreno said
"I don't have a starting goalkeeper," he told a media conference. "It may or may not change.
"I keep the same message. All three are of the top level and I really want them to make my decision difficult.
"The three have trained at a very high level. I will not say if one is my preferred goalkeeper or not."
Akijibu kwa hoja hii point naomba nitagStatistically Leno hayuko hata kwenye 10 bora ya 2018/19 hata kwenye zile blogu za porojo hayupo
Hata Etheridge wa Cardiff City iliyoshuka daraja kamshinda Leno kwa cleansheet 10 Leno akiwa ana 6 tu. Shame on you Aroon
EPL GOALKEEPERS WITH MOST CLEAN SHEETS 2018/19
PLAYER TEAM CLEAN SHEETS Allison Liverpool 21 Ederson Manchester City 20 Kepa Chelsea 14 Pickford Everton 14 Lloris Tottenham 12 Dubrawka Newcastle United 11 Etheridge Cardiff City 10 Schmeichel Leicester City 10 De Gea Manchester United 7 Foster Watford 7
Top 3 ya wapi , kepa lini kani prove wrong?
Usimfananishe kepa na Leno mikono buku
Hivi Mara ya mwisho kupata cleansheet kepa ni lini?
Kepa ndio kipa ambaye hata Chelsea ikicheza na GWAMBINA YA PASTA ATHANAS INA uhakika wa kuondoka na goli.
View attachment 1202790
Wajionaje hali ukiziona picha hizi?Hili Katu hawatalisemea kuwa lilitokea! Kepa alipogaiwa Kagemu kamoja walianza Kelele kuwa Ameshampokonya Namba De Gea.
Lakini mwenye Timu aliporudi mjengoni wameufyata wote.
Wanasubiri siku Nyengine Kepa agaiwe tena kijigemu wanze kubwabwaja.
Hivi Leno huwa anadakia nchi gani vile maana taarifa zake hazipo kabisa, unpopular GKTop 3 ya wapi , kepa lini kani prove wrong?
Usimfananishe kepa na Leno mikono buku
Hivi Mara ya mwisho kupata cleansheet kepa ni lini?
Kepa ndio kipa ambaye hata Chelsea ikicheza na GWAMBINA YA PASTA ATHANAS INA uhakika wa kuondoka na goli.
View attachment 1202790
Ni swala la muda tu ,Neur atamuachia milingot mitatu,Hivi Leno huwa anadakia nchi gani vile maana taarifa zake hazipo kabisa, unpopular GK