eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Makinda wa Chelsea ni wazoefu sana kwa sasa, kinda pulisic miaka 20, kinda Odoi miaka 18Ndo njia tuliyonayo msimu huu lakini pia yanaweza kuwa maandalizi kwa ajili ya Lampard.
Kwa kipindi hiki Sarri angetufaa zaidi kuliko kocha mwingine mpya japo piq Lampard siyo mbaya.
Lampard ni mzuri katika kumotivate wachezaji na atakuwa na power ya ku-control dress room. Anaifahamu klub kuliko mtu yoyote aliyepo kwa sasa Chelsea labda mmiliki , Zola na Gudicin na sauti yake itakuwa na nguvu kuliko mchezaji yeyote kutokana pia na ukweli kwamba anaheshimika kwenye klub.
Lampard anapenda mpira wa kushambulia na kunyanganya mpira kwa haraka ( kuwa aggressive)pale timu pinzani inapokuwa na mpira. Anawaamini vijana wenye vipaji japo wengi tuna wasiwasi na uzoefu wake hasa ukizingatia Chelsea ina baadhi ya mashabiki wenye uelewa mdogo ambao wao timu ikifanya vibaya tu wanataka kocha afukuzwe.
Hii ni tofauti na mambo yalivyokuwa pale Derby Country. So katika presha ya namna hii inaweza kuwa ngumu kwake kuimiri presha kutokana na kukosa uzoefu.
Nasemaje kwa lampard, hamna kitu,Ndo njia tuliyonayo msimu huu lakini pia yanaweza kuwa maandalizi kwa ajili ya Lampard.
Kwa kipindi hiki Sarri angetufaa zaidi kuliko kocha mwingine mpya japo piq Lampard siyo mbaya.
Lampard ni mzuri katika kumotivate wachezaji na atakuwa na power ya ku-control dress room. Anaifahamu klub kuliko mtu yoyote aliyepo kwa sasa Chelsea labda mmiliki , Zola na Gudicin na sauti yake itakuwa na nguvu kuliko mchezaji yeyote kutokana pia na ukweli kwamba anaheshimika kwenye klub.
Lampard anapenda mpira wa kushambulia na kunyanganya mpira kwa haraka ( kuwa aggressive)pale timu pinzani inapokuwa na mpira. Anawaamini vijana wenye vipaji japo wengi tuna wasiwasi na uzoefu wake hasa ukizingatia Chelsea ina baadhi ya mashabiki wenye uelewa mdogo ambao wao timu ikifanya vibaya tu wanataka kocha afukuzwe.
Hii ni tofauti na mambo yalivyokuwa pale Derby Country. So katika presha ya namna hii inaweza kuwa ngumu kwake kuimiri presha kutokana na kukosa uzoefu.
Usisahau pia, sio msaliti, anaijua Chelsea vizuri na ataibeba kama yakeNdo njia tuliyonayo msimu huu lakini pia yanaweza kuwa maandalizi kwa ajili ya Lampard.
Kwa kipindi hiki Sarri angetufaa zaidi kuliko kocha mwingine mpya japo piq Lampard siyo mbaya.
Lampard ni mzuri katika kumotivate wachezaji na atakuwa na power ya ku-control dress room. Anaifahamu klub kuliko mtu yoyote aliyepo kwa sasa Chelsea labda mmiliki , Zola na Gudicin na sauti yake itakuwa na nguvu kuliko mchezaji yeyote kutokana pia na ukweli kwamba anaheshimika kwenye klub.
Lampard anapenda mpira wa kushambulia na kunyanganya mpira kwa haraka ( kuwa aggressive)pale timu pinzani inapokuwa na mpira. Anawaamini vijana wenye vipaji japo wengi tuna wasiwasi na uzoefu wake hasa ukizingatia Chelsea ina baadhi ya mashabiki wenye uelewa mdogo ambao wao timu ikifanya vibaya tu wanataka kocha afukuzwe.
Hii ni tofauti na mambo yalivyokuwa pale Derby Country. So katika presha ya namna hii inaweza kuwa ngumu kwake kuimiri presha kutokana na kukosa uzoefu.
CR7 alikaribishwa Barnabeu na mashabiki 75,000Hazard live in bernabeu check youtube
Nani anaweza kuwa mbadala sahihi wa Hazard Stamford BridgeHazard live in bernabeu check youtube
Hazard atabaki kuwa hazard tu hana mbadalaNani anaweza kuwa mbadala sahihi wa Hazard Stamford Bridge
Hapo umetudanganya...EPL,LaLiga,bundersliga zina pointi mbilimbili...ligue 1 ina 1.5Weak league unazungumza wewe. Lakini kulingana na rank za UEFA. Point za French league na za ligi ya PL ni sawa sawa. kwahiyo ukifunga goli 20 PL na ukifunga goi 20 French League zote ni sawa.
Kweli mkuu. Hata kocha wa Tottenham alipewa timu akiwa mdogo lakini cheki alivyoitengeneza. Naamini lamp atakuwa vizuri tu. Chamsingi ajiamini ili aisuke Chelsea.Usisahau pia, sio msaliti, anaijua Chelsea vizuri na ataibeba kama yake
Pia makocha vijana wakipata nafasi wataitumia vizuri kujenga jina
Na pia nadhani akiwa kocha utasikia wale malegend wenzake kwenye benchi la ufundi
Utamsikia Drogba ndani
John Terry ndani
Petr Cech naye ndani
Wanakuaj kuungana na mkongwe Gianfranco Zola
Kwahiyo lampard kama ole tuNasemaje kwa lampard, hamna kitu,
Kwa kuboresha zaidi UEFA wana kitu kinaitwa Coefficients ranking factorFHapo umetudanganya...EPL,LaLiga,bundersliga zina pointi mbilimbili...ligue 1 ina 1.5
Kweli mkuu. Hata kocha wa Tottenham alipewa timu akiwa mdogo lakini cheki alivyoitengeneza. Naamini lamp atakuwa vizuri tu. Chamsingi ajiamini ili aisuke Chelsea.
Msimu ujao ni msimu wa kuiunda timu kutoka academy pool of youngsters, tumpe Lampard timu inatosha, hakuna kocha atakayekuja kufanya wonders hapo darajani labda ban waiondoe mapemaAisee
Mkuu hivi unaijua CV ya Mauricio Pochetino kweli? Kabla ya Spurs alikuwa Southampton na kuna timu nyingina za La Liga kama sijasahau
Msimu ujao ni msimu wa kuiunda timu kutoka academy pool of youngsters, tumpe Lampard timu inatosha, hakuna kocha atakayekuja kufanya wonders hapo darajani labda ban waiondoe mapema
Sarri ni hivyo hivyo, tena Lampard si better than Sarry, Sarri ni Conservative kwenye mbinu na staili ya kucheza japo mfumo wake ni mzuri, angeongeza na mbinu kila mtu angempenda.Kwani Sarri vipi?
FHapo umetudanganya...EPL,LaLiga,bundersliga zina pointi mbilimbili...ligue 1 ina 1.5
Mkuu huyu mchizi mwenyewe namfuatilia sana na channel yake ya Blue Lion TV. Ana nondo nyingi na updates zote za club yetu.Jamaa anamsifia kweli Zouma na anamfananisha na VVD!!
Jamaa kawalelezea vizuri wachezaji wa mkopo ambao wanaweza kuifanya Chelsea iwe imara msimu ujao
Ngoja tuoneNasemaje kwa lampard, hamna kitu,