OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Sana ila naona tumejitahidi maana Salvia Praha sio haba nao ..kwako njema kimtindo..Vijana wamejitahidi leo japo performance haikuridhisha, kongole ziende kwa Keppa
tukutane baada ya Dakika tisini, matokeo yataamua nani abebe ubingwa kati ya Liverpool na Man city. Sisi tunachojua ni Bendera ya looserfool kupepea nusu mlingoti pale AnfieldKwa mpira huu ndio mchomoke ANFIELD
Bournemouth anakushindilia Bao 4 Sisi ndio tukuache tunawapiga Eaaaaaaaasy Asubuhi saa 8;15tukutane baada ya Dakika tisini, matokeo yataamua nani abebe ubingwa kati ya Liverpool na Man city. Sisi tunachojua ni Bendera ya looserfool kupepea nusu mlingoti pale Anfield
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahah
Kocha alishtuka akaingiza kikosi kazi, hata hivyo leo Alonso alikuwa kwenye fomu baada ya kutukanwa kwenye mitandao mpaka akadisable comments kwenye Instagram yakeWachezaji waliopangwa wanapiga pasi tu, kipindi cha pili tutafungwa kama kawaida yetu, kumuacha Emerson ,loftus na odoi kufanya maisha ya Chelsea magumu sana
Chelsea uchezaji wao umebadilika, zile horizontal pass zimepungua kwa sasa wanafanya deep passesWachezaji waliopangwa leo ni Wale wapiga pasi tukipata goli ni bahati wote tunawajua wakifika second half wanafungwa goli la kichwa tena kona,
. WILLIAN USIMSAHAU KUMPA SHUKURANI JAMAA NI LEGEND SIJAWAHI MBEZA AISEEEWaliotuangusha leo nio Pedro, Kovacic, kante alitakiwa acheze tangu mwanzo
Hazard alipoingia Slavia wakawa wanamdaka Hazarda badala ya mpira, Hazard sasa hivi wanamuogopa sana
Kepa anastahili kuwa GK wa ghali, kapangua za wazi kabisa 2 hivi, zingekubali labda ingekuwa 2-1 au Zaidi
Huyu dogo tunamuhitaji sis pia, Liverpool nao nimeona wanamuhitaji,Chelsea are among a number of Premier League clubs monitoring Ajax winger David Neres, who is expected to cost at least £34.5m this summer.
Hiyo ni kama rufaa yetu itawin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo tunamuhitaji sis pia, Liverpool nao nimeona wanamuhitaji,
Sis tushatuma wawakilishi
Yohana 3:16
Sijamfatilia ,ila nasikia yupo vzrDogo fundi, kwa timu itakayo fanikiwa kumpata itakua imelamba joker.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ile nafasi angecheza Odoi, mbele kungechangamka. Willian ni mchezaji wa kaliba za juu, ni kwamba hana chemistry nzuri tu hasa striker, Giroud ni mzuri ila hajafikia viwango vya striker wa kasi na mwenye timing za cross-pass zile za willian na hazardShukurani zimwendee LEGEND willian hutubeba mazingira magumu alonso na nduguze . pedro akuwa katika mchezo alikuwa anawaza familia