Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Kumbe unabishana ,Hivi Asernal nao ni wa kubishana nao hao.? Utapoteza nguvu zako bure achana nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umehamia kwenye ualimu wa lughaDo not only raise voice but also raise your arguments.
Usipoelewa niambe nikutafsirie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna alichokosa Man Utd...alitaka pesa za usajili za kutosha akapewa,lkn muda huo huo uongozi wa timu yoyote unaangalia thamani ya pesa wanayotoa na matokeo ya timu uwanjani...matokeo hayakua sawa na kiasi alichotumia kuijenga timu.Issue ya Man United inajulikana, walimpa pesa lakini hawakumtimizia alichokitaka. Hata hivyo failure yake Man United hasa ktk mwaka wake wa tatu haiwezi kumuondolea kuwa kocha mwenye mbinu na haiwezi mfanya umlinganishe na Sarri
Alichokifanya Chelsea misimu miwili, Intermilan msimu mmoja na Real Madrid msimu mmoja inatosha kumtetea
shinji jr unachoserma kuhusu MOU kupewa pesa nyingi ni kweli lakini pia sio kweli. Mou kalalamika sana kuhusu fullback lakini hakusikilizwaHakuna alichokosa Man Utd...alitaka pesa za usajili za kutosha akapewa,lkn muda huo huo uongozi wa timu yoyote unaangalia thamani ya pesa wanayotoa na matokeo ya timu uwanjani...matokeo hayakua sawa na kiasi alichotumia kuijenga timu.
Pia kushindwa kujua kikosi cha kwanza kwa misimu mitatu mfululizo nako kukawa ni changamoto kubwa kwa uongozi kumuelewa kocha.
Imagine kiasi alichotumia Pep halafu timu ikawa haieleweki,hata ungekua wew ni mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu usingevumilia kuona mnapoteza pesa kwa muunganyiko wa wachezaji wasioleta matokeo mazuri uwanjani.
Kwa miaka ya sasa falsafa za Mou sijui kama zina matunda tena kulingana na mabadiliko ya kiuchezaji na wachezaji wenyewe waliopo kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unaendelea kushirikisha makalio. Kungekua na hoja ningejibu.Badala ujibu hoja unajibu utumbo
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Nilikuambia kama hujaelewa niambie nikutafsirie makaroni weweUmehamia kwenye ualimu wa lugha
Chelwowo bhana
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Endelea kupayuka maana huna unalolijuaBado unaendelea kushirikisha makalio. Kungekua na hoja ningejibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli chelwowo
Hii Man United fans hawatapenda kuisikiaHakuna alichokosa Man Utd...alitaka pesa za usajili za kutosha akapewa,lkn muda huo huo uongozi wa timu yoyote unaangalia thamani ya pesa wanayotoa na matokeo ya timu uwanjani...matokeo hayakua sawa na kiasi alichotumia kuijenga timu.
Pia kushindwa kujua kikosi cha kwanza kwa misimu mitatu mfululizo nako kukawa ni changamoto kubwa kwa uongozi kumuelewa kocha.
Imagine kiasi alichotumia Pep halafu timu ikawa haieleweki,hata ungekua wew ni mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu usingevumilia kuona mnapoteza pesa kwa muunganyiko wa wachezaji wasioleta matokeo mazuri uwanjani.
Kwa miaka ya sasa falsafa za Mou sijui kama zina matunda tena kulingana na mabadiliko ya kiuchezaji na wachezaji wenyewe waliopo kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatapatapa arsenal fan.Wewe kweli chelwowo
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hii Man United fans hawatapenda kuisikia
Park the bus! Solskjaer's tactics are the same as Mourinho's, says Van Gaal
Louis van Gaal is not convinced that Ole Gunnar Solskjaer has changed Manchester United's style since taking over from Jose Mourinho, and believes he is guilty of "parking the bus" just like his predecessor.
"But they can also win the Champions League because they play a defensive system and it is very difficult to beat them, which, whether you like it or not, is the result of Mourinho's work."
https://www.goal.com/en/news/park-the-bus-solskjaers-tactics-are-the-same-as-mourinhos/j4fw97nh5vb1f52bbsou1i92
Aya yako ya kwanza bado nakataa.Mou aliweka sana mkazo katika beki za kati na hata aliposajili rightback ni yule dalot ambaye hata kwny orodha ya wachezaj wa mechi hakuwa akiwepo.shinji jr unachoserma kuhusu MOU kupewa pesa nyingi ni kweli lakini pia sio kweli. Mou kalalamika sana kuhusu fullback lakini hakusikilizwa
Usajili wa wachezaji siku zote ni bet na gambling ya aina yake. saa nyingine kocha anapatia na saa nyingi anabuma, MOU alichobet vibaya ni Sanchez tu tena sio kosa lake, Sancheza kiwango kimeshuka baada ya uhamisha na MOU asingejua hilo
Kuhusu falfasa yenye matunda ni fit between the players and the philosophy itself and sometimes the fit depends on the opponent
Ukicheza na PEP falsafa inaweza ikahitaji a little bit of tweak "A" tofauti na ukicheaza na Klopp ambaye itahitahitaji tweak "B" etc
Makocha wengine hawajui hizi tweaks akiwemo Sarri ndio maana ni too much predictable.
MOU anazijui hizi Tweak sana na ndio maana pamoja na Man U mbovu aliweza kuchukua EUROPA na kukaa second kwenye ligi ya mwaka jana.
Huyu Ole Guna akishakuwa predictable kama hajui hizi tweaks utakuja kuniambia next seasons atakuwa tu kama Sarri
Mpo zari bol
[emoji23][emoji23][emoji23]Tulipoishia kabla ya INTERNATIONAL BREAKView attachment 1056282
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba