Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Shots on target anazo ngapi? Na man city anangapi.
Huo mfumo wa kocha leo ungezaa matunda ..labda angemueka Higuan angekamiwa Sana ..Yan huyu kocha kaona amuanzishe Hazard kama false nine. Then Higuain benchi, Then Pedro acheze kushoto.
Kwangu nilikua naona hivi kama Hazard anacheza namba Tisa kushoto mpeleke Willian then kulia CHO. Pedro atokee benchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nimemshangaa kwa kweli,aisee kwa nini kaonyesha dharau namna hii?KITENDO CHA KEPA KUKATAA KUTOKA UWANJANI BAADA YA KUFANYIWA SUB NA SARRI IWAPO CHELSE ITAPOTEZA KWENYE MATUTA BASI KITAMTAFUNA KIZAZI NA KIZAZI NA WALA SARRI HATOMSAMEHE KWA AIBU HII
Yaani nimemshangaa kwa kweli,aisee kwa nini kaonyesha dharau namna hii?
Nipo mzee baba ..iyo nafasi ya nne najua umenishikia tu.MMEKUFA KIUME
hahaaaaaaa
SWALI
JE Ollachuga Oc atajipiga ban au atajitokeza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmefurqhi timu imepambana. Hii nguvu tunaipeleka Europa League. Cha msinhi ni kuhakikisha tunachukua kule.Huo mfumo wa kocha leo ungezaa matunda ..labda angemueka Higuan angekamiwa Sana ..
But all in all yote ni matokeo ..kufungwa, kushinda fresh tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipa alitaka apambane mpaka Dakika ya mwisho japo sio heshima kisoka lakini ameonesha ushujaa Fulani hivi ..Hebu angalia Video hiyo Kitendo alichokifanya Kipa Wako
Sarri kapanda Hasira mpaka karusha ngumi.
Angelikuwa Mourinho au Guardiola ndiye Kocha basi aaingeliichezea tena Chelsea huyo kocha.
KITENDO CHA KEPA KUKATAA KUTOKA UWANJANI BAADA YA KUFANYIWA SUB NA SARRI IWAPO CHELSE ITAPOTEZA KWENYE MATUTA BASI KITAMTAFUNA KIZAZI NA KIZAZI NA WALA SARRI HATOMSAMEHE KWA AIBU HII
Kwa kweli kama spirit ikabaki hii hii tunaweza beba lile kombe na kurudisha majeshi uefa..Nmefurqhi timu imepambana. Hii nguvu tunaipeleka Europa League. Cha msinhi ni kuhakikisha tunachukua kule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sion kama ni dharau ..unajua kwa Dakika kma zile alafu Willy Caba anaingia then anazingua zaidKweli Kepa amemdharau sana Sarri pamoja na Wily Caballero, wametia huruma sana.
Ningekuwa Sarri angesugua bench mpaka atafute timu.
Pale nimekaa jumla namtafuta totenham sasa hiv, nimtoe hiyo namba 3Nipo mzee baba ..iyo nafasi ya nne najua umenishikia tu.
Kwa leo nilijua tu City lazima angeshinda tu japo sikutegemea kama ni kwa penalties ..
Ila all in all tumefungwa..
Pole kwa fans wote wa Chelsea ..bado tuna Europa tunaeza fanya maajabu uko..
Sent using Jamii Forums mobile app