Luiz na Willian bado wanahitajika akina Christiansen wanamtegemea Luiz sana ili kupokea kijiti smoothlyWillian,luiz wakuondolewa
You are right, ila tukiendelea kuwategemea akjina Alonso tujiandae kisaikolijia tu kuwa wasindikizaji au wapigania kutoshuka daraja
katka mashabiki wabovu cfc ni ww maana hunaga point tofaut na kukopy ujinga huna akili ya kufikilia yawezekana umri 15-25SarriIn
katka mashabiki wabovu cfc ni ww maana hunaga point tofaut na kukopy ujinga huna akili ya kufikilia yawezekana umri 15-25SarriIn
Sijui Chelsea kuna nini? wachezaji hawana morale, makossa ya kijingajinga yanatokea kila mara, almost kwa wachezaji wote hawastahili kuichezea Chelsea ya kushindania makombe ukiwaacha 5/6 players tu
I would just go for
The rest wauzwe
- Kante
- Hazard
- Kepa
- Rudiger
- Willian
- Luiz
Luiz na Willian bado wanahitajika akina Christiansen wanamtegemea Luiz sana ili kupokea kijiti smoothly
Willian naye bado tunamhitaji hata kama sio kwa fulltime. Wachezaji wa kuwaondoa ni hawa ambao wameshazeeka na creativity zero
katka mashabiki wabovu cfc ni ww maana hunaga point tofaut na kukopy ujinga huna akili ya kufikilia yawezekana umri 15-25
Maneno yako ni makali sana na hayarefelect ukweli wowote. Hata kamka Luiz anakuwa na bad form kwenye baadhi ya games lakini akiwa kwenye good form mnanyamaza. Ni kweli anazeeka na katika umri huo on and off ya form is expected. Hata John Terry alikuwa hivi hivi na Vincent Company wa Man city yuko hivi hivi. Baadhi ya games wanampa na baadhi wanamuacha. Kocha ndie anatakiwa kujua kwamba ni wapi wamuweke na wapi wampunzishe. Hazina kama ile huwezi itupa hivi hivi tu unless una chuki binafsiSiku zote hushindwa kufahamu baadhi ya watu hili kandanda wanatizama vipi.
Luiz ndio weakest link kwenye defense Bado mnamuona anafaa duh!
Maneno yako ni makali sana na hayarefelect ukweli wowote. Hata kamka Luiz anakuwa na bad form kwenye baadhi ya games lakini akiwa kwenye good form mnanyamaza. Ni kweli anazeeka na katika umri huo on and off ya form is expected. Hata John Terry alikuwa hivi hivi na Vincent Company wa Man city yuko hivi hivi. Baadhi ya games wanampa na baadhi wanamuacha. Kocha ndie anatakiwa kujua kwamba ni wapi wamuweke na wapi wampunzishe. Hazina kama ile huwezi itupa hivi hivi tu unless una chuki binafsi
2007/2008
Chelsea 6 man city 0
Hivyo ni kama walirudisha.
Nyie zile nane mutarudisha lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani saivi Chelsea iko vizuri?Hizo 6-0 bila mliwafunga wakiwa masikini maana by the time Sheikh Mansour alikuwa bado hajainunua manchester City
Kama ubavu upo mzirudishe kocha akiwa huyu huyu Pep Guardiola
Wewe ndo unapaswa kuonewa huruma maana may sio mbali sana ..mpaka sasa ujajua Klopp ni bingwa wa kufeli Dakika za lala salama...Dah! Muda unaenda kasi kweli!! Huu uzi umekuwa wa watu wenye kutia huruma kweli.
Wewe una chuki binafsi kwa Luiz, Diego Costa, Conte alimtema naye alikuwa mbovu. Conte alimtema Luiz kwa sababu ya kutofuata maelekezo yake the same to Diego Costa, hii ya kwako ya game mbovu ni chuki binafsiHayo ndio matatizo ya mashabiki wa Premier League. Luiz ni bomu, Conte alishamfyeka kabisa kikosini, Sarri kamrejesha kwa vile anaa uwezo wa kuchezea mpira tu kwaiyo anafiti kwenye mfumo wake lakini defending bado jamaa ni horrible. Ndio nyie mnaoamnini Chelsea ina kikosi kizuri ila makocha ndio wabovu. Watendelea kuhesabu makocha kila mwaka kwa wachezaji hao.
Wewe una chuki binafsi kwa Luiz, Diego Costa, Conte alimtema naye alikuwa mbovu. Conte alimtema Luiz kwa sababu ya kutofuata maelekezo yake the same to Diego Costa, hii ya kwako ya game mbovu ni chuki binafsi
Sarri sasa hv anazingua kutompa nafasi Hudson Odoi na kuwapa wazee nafasi (Willian na Pedro) hata game ya Jana kacheza kidogo.
Odoi sitamlaumu akiondoka hata kidogo.
Alonso, Barkley na Willian ni wabovuuuuuu
Emerson, Christensen, Loftus Cheek na Odoi wanatakiwa kupewa nafasi
Maneno yako ni makali sana na hayarefelect ukweli wowote. Hata kamka Luiz anakuwa na bad form kwenye baadhi ya games lakini akiwa kwenye good form mnanyamaza. Ni kweli anazeeka na katika umri huo on and off ya form is expected. Hata John Terry alikuwa hivi hivi na Vincent Company wa Man city yuko hivi hivi. Baadhi ya games wanampa na baadhi wanamuacha. Kocha ndie anatakiwa kujua kwamba ni wapi wamuweke na wapi wampunzishe. Hazina kama ile huwezi itupa hivi hivi tu unless una chuki binafsi
Vincent Kompany kaachwa tu juzijuzi tena kwa sababu ya injury aliyopata wakati Mancity walipocheza na Liverpool January 3. Hii ya kwamba hatumiki tena ni ya kwako mkuu, Luiz sikusema awe tegemeo la timu lakini kumuacha tu ni uamuzi mbaya, akina Andreas wana vitu vingi vya kujifunza kutoka kwake. Kama uongozi ukiweza kumpata strategic relplacement ni sawa ila naogopa kuwa wanaweza kumleta mbovu Zaidi na ikawa ni afadhali kumjenga Christiansen achukue nafasi yake. Willian bado ana uwezo mkubwa kama winga kutengeneza nafasi, kumuachia aende labda auzwe kwa chenji yenye kuweza kuwanunua winga bora Zaidi, Pedro kashachoka kwa kweli. Ila in short ubovu wa kiuujumla wa timu ndio unaoleta kunyoosheana vidole. General form ya timu ingekuwa nzuri tusingekuwa leo tunawataja akina Luiz, Willian nk. Pale kwenye msingi ndio inatakiwa kujengwa, pale ikibomoka nyumba yote mbovu. Che inamhitaji CMF, LMF na RMF wazuri Zaidi ya Jourginho na Kovacic. Na pia kocha na Benji lake la ufundi wanachangia kwa timu kukosa morale, mentality ndogo na individual mistakes nyingi kana kwamba hawaudhurii mazoezi. Pia kocha kuwa conservative kwa mfumo mmoja madhara yake ni pale mfumo usipowork ndio haya. Mimi generally namlaumu kocha kwa mentality yake finyu kwenye mifumo na tactics za kuleta matokeoMkuu huyo Kampany hatumiki tena huko City anachovwa tu, Huku Luiz akiwa bado tegemea kwenye timu. Matatizo yaanzia hapo, Huwezi mtegemea beki kama Luiz na hasa alivo saivi kwenye timu halafu ukafanya vizuri.