Uko wapi mkuu,game inaendeleajeLeo tutakwenda pale etihad kuchukua point tatu ..sio kutafuta draw..
Uwezo wa kushinda tunao, man city anafungika vizuri tu..
Gemu itaisha 1-2..
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu nitagUnamaanisha nini..?
Ukweli unaujua ila kibriLeo tutakwenda pale etihad kuchukua point tatu ..sio kutafuta draw..
Uwezo wa kushinda tunao, man city anafungika vizuri tu..
Gemu itaisha 1-2..
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh nadhan maiti imepondeka pondeka sana kutokana na ajal kali si tutazika hap hapaKama majiran tunahitaji kujua mnasafirisha au mnazika hapa hapa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Naruhusiwa kuanza kupika chakula ???
Au nisubiri subiri?
Waombolezaji tushaanza kusikia njaa, huyo mgonjwa hawezi kupona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora nianze kupikaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hongera unawashabikia mabingwa braza utazeeka Liverpool kamwe hawezi kuwa bingwa bora ufurahie mafanikio ya CityMbona hawapigi la 5 😡😡
Chakula pika kidogo maana washabiki wa liverpool hatutokulaNaruhusiwa kuanza kupika chakula ???
Au nisubiri subiri?
Waombolezaji tushaanza kusikia njaa, huyo mgonjwa hawezi kupona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora nianze kupikaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Somaaaa hyoHongera unawashabikia mabingwa braza utazeeka Liverpool kamwe hawezi kuwa bingwa bora ufurahie mafanikio ya City
Niliwaambia mapema mtumie huu mfumo wa 8-1-1 hamkutaka...madhara yale ndy hayaa sasa....timu inanuka sigaraKuna hatihati mkala kiganja leo...cha muhimu huu mfumo wa 8-1-1 ndy ungefaa muutumie ili msipewe kiganja..shida yenu hamsikilizi ushauri...na mtakula kiganja nawaambia