Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,052
- 27,454
Hiyo ndio mtaipata kwa masaa. Mimi naamini City hatufungi.Hahahahhaha, vita baridi indeed, tena ukizingatia baada ya hiyo game watakutana tena game inayofuata.
All in all namuombea jirani mpiga kelele ashinde nasi tushinde ili tuonje Radha ya top 4 hata kwa masaa kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshinde sasa sio pang'ang'a mingi. Nitakuwepo hapa kuwashabikia [emoji41]
Usitusahau kwenye dua mkuu.Mshinde sasa sio pang'ang'a mingi. Nitakuwepo hapa kuwashabikia [emoji41]
Ila tabia yenu ya kujificha kwenye mahandaki muache..
Mkuu City lazima ukae kwake na ukiangalia Liverpool kadrop points. Hamna namna, lazima mkae
Khe [emoji1787][emoji1787][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]Man City vs Chelsea Overview.
If Man City win. Pts 59+3=62 ambapo atalingana Liverpool ila atakaa juu ya Liver kwa sababu kamzidi kwa GD kama naye Liver atazingua kwenye game yake japo naombea Bournemouth afungwe si chini ya goli 4 ili ajue uchungu na yeye wa kufungwa 4-0 unavyouma.
If Chelsea draw. Pts 50+1=51 atalingana point na Man U ambaye naye kama atashinda game yake huko. Sijampa Chelsea win kwa sababu tuna asilimia nyingi za kudraw kuliko kuwin coz tupo ugenini halafu sisi ndio tuliomtibua vuzi kwa kumuondolea ule mfululizo wa kutopoteza. Pia form alinayo kwa sasa pamoja na Aguero wake ukilinganisha na sisi huo ndio ukweli. Japo ushindi ndio unatafutwa ugenini.
Uzuri ni kwamba game hii itachezwa ikiwa Liver na Man U wao watakua washacheza game zao Jmosi. So itakua na watazamaji wengi.
Kwa yeyote yule atakayepoteza hii game anajiweka nafasi mbaya mno. Hapa kama nawaona mashabiki wa Liver wanaomba watuazime striker yao huku wakianza kuona Higuain ni bonge la striker [emoji3] huku na Man U nao wanaona kama Fernandinho na Silva wanafaa sana na Pogba kwa hiyo itapendeza wakisimama pamoja huku golini wakimuweka De Gea [emoji23].
Hii ni vita baridi kati ya Liverpool na Man Utd[emoji4][emoji4]. Hahahaa I LOVE THIS GAME.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa.. Jumapili haya majukwaa matatu hayatatulia kabisa.Khe [emoji1787][emoji1787][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
Jamaa umefanya nimecheka kwa nguvu kwenye gari hatari....!!
Vita Ni Vita mura. I wish tutashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni maoni yako mimi siwezi kuyapinga. Ngoja tusubiri JpilMkuu City lazima ukae kwake na ukiangalia Liverpool kadrop points. Hamna namna, lazima mkae
Sent using Jamii Forums mobile app
Majukumu mkuu. Siyo kupenda kwangu ni hali ya maishaIla tabia yenu ya kujificha kwenye mahandaki muache..
Hakuna majukumu wala nini mbona mkishinda ndio mnakuja mkifungwa ndio majukumu yanakuja au?
Hakuna majukumu wala nini mbona mkishinda ndio mnakuja mkifungwa ndio majukumu yanakuja au?
Wenzako akina kalou Ollachuga Oc eden kimario huwa wanajificha wapi?Kwani siku tulipofungwa na Bournemouth hukuniona.? Nilikuwepo humu, once a blue always a blue in a lose or win situation siwezi kuiacha hii timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu. Ila ujue kuwa man city anacheza na Evaton kesho usiku saa 10:45pm. Kabla hatujakutananae
Kweli mkuu. Ila ujue kuwa man city anacheza na Evaton kesho usiku saa 10:45pm. Kabla hatujakutananae
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unajua kuwa Man City anacheza kesho na Evaton??Man City vs Chelsea Overview.
If Man City win. Pts 59+3=62 ambapo atalingana Liverpool ila atakaa juu ya Liver kwa sababu kamzidi kwa GD kama naye Liver atazingua kwenye game yake japo naombea Bournemouth afungwe si chini ya goli 4 ili ajue uchungu na yeye wa kufungwa 4-0 unavyouma.
If Chelsea draw. Pts 50+1=51 atalingana point na Man U ambaye naye kama atashinda game yake huko. Sijampa Chelsea win kwa sababu tuna asilimia nyingi za kudraw kuliko kuwin coz tupo ugenini halafu sisi ndio tuliomtibua vuzi kwa kumuondolea ule mfululizo wa kutopoteza. Pia form alinayo kwa sasa pamoja na Aguero wake ukilinganisha na sisi huo ndio ukweli. Japo ushindi ndio unatafutwa ugenini.
Uzuri ni kwamba game hii itachezwa ikiwa Liver na Man U wao watakua washacheza game zao Jmosi. So itakua na watazamaji wengi.
Kwa yeyote yule atakayepoteza hii game anajiweka nafasi mbaya mno. Hapa kama nawaona mashabiki wa Liver wanaomba watuazime striker yao huku wakianza kuona Higuain ni bonge la striker [emoji3] huku na Man U nao wanaona kama Fernandinho na Silva wanafaa sana na Pogba kwa hiyo itapendeza wakisimama pamoja huku golini wakimuweka De Gea [emoji23].
Hii ni vita baridi kati ya Liverpool na Man Utd[emoji4][emoji4]. Hahahaa I LOVE THIS GAME.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unajua kuwa Man City anacheza kesho na Evaton??
Wanacheza kesho saa 10:45 usiku. So kuanzia kesho kutwa Liverpool anaweza kawa nafasi ya pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka wa ngapi huu sijui anashindwa kufikia hatua ya kupambania ballon dor[emoji5][emoji5]