21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
na yeye ajifunze kubadilika basi sio anachezesha formation ile ile mbona makocha wengine wanafanyaga adjustment kwenye formation zao, timu pinzani zimeshamsoma sasaNa kufukuza kocha si suluhisho. Mourinho, Conte na now Sarri tatizo ni lile lile. Wachezaj wanaonyesha nguvu kwa makocha. Na kocha akisha lost dressroom support ni basi. Tunataka kuwa real Madrid
Kwa hyo opposition kwenye counter attack inakuwa rahis kwao kupambana na mabeki wawili (Rudiger na Luiz) na hawa wote si wazuri kudefend one vs one. Na opposition wingers wakiwa na speed ndo tunakufana yeye ajifunze kubadilika basi sio anachezesha formation ile ile mbona makocha wengine wanafanyaga adjustment kwenye formation zao, timu pinzani zimeshamsoma sasa
ok, acha tusubiri tuone huko mbeleniHilo ndo tatizo linapoanza. Kuchukua formation nyngne lazma mui adapt. Je itachukua muda gan? Wengi wanapenda 4-2-3-1 Kante na Jorginho wakae juu ya mabeki. Hata na mm naipenda hii kwa sababu sasa hivi tunapigwa magoli mengi. Na Jorginho si mkabaji.
Kwa hyo opposition kwenye counter attack inakuwa rahis kwao kupambana na mabeki wawili (Rudiger na Luiz) na hawa wote si wazuri kudefend one vs one. Na opposition wingers wakiwa na speed ndo tunakufa
ok, acha tusubiri tuone huko mbeleni
ndio kuna wachezaji perfomance zao zimedrop hasa Hazard nafikiri anaiwaza zaidi Madrid kwa sasaIla kuna performance tuwalaumu wachezaji siyo Kocha
Mnamlaumu tu Hazard wa watu, mtalaumu wachezaji wote mtaona hawafai! Tatizo wala sio wachezaji tatizo ni mfumo na bangi anazovuta Sarri. Timu inacheza mpira wa pasi wala haitengenezi nafasi, halafu wanapga pasi taratibu wanawapa timu pinzani muda wa kujiweka sawa kuzuia. Wakipata mpira tunapgwa counter Goli, .........ndio kuna wachezaji perfomance zao zimedrop hasa Hazard nafikiri anaiwaza zaidi Madrid kwa sasa
Mkuu jitahidi kutokutoroka msibani vumilia tuu hadi tutakapo anua tangaTwo combinations I’d like to never see starting again for Chelsea...
1. Kovačić w/ Willian = Goals issue
2. Barkley w/ Pedro = Too sloppy
Combinations I'd like to see more?
Hudson Odoi and Higuain
Loftus Cheek and Hazard
Hamna mgomo wowote chelsea, na kama kulaumiwa wala hata sio hazard! problem ipo kw Joginho,na hili tatizo pia linaweza kua pia linatokana na sarri mwenyewe. msitegemee Hazard akacheza kw kiwango chake wakat timu inacheza vibaya. Pasi nyingi zinapgwa katikati zinarudishwa kw kipa, wanaanza tena wanapga pasi nyingi wanarudsha kw kipa .......... wanafanya hivyo hivyo! hata mpira haifiki kw striker! sasa kosa la Hazard hapo ni nini?afu kale ndiko ka kiwanda ka migomo chelsea, Kwa Jose hivyo hivyo, kwa Conte hivyo hivyo sasa dalili kwa sarri zinaanza
Hapa mzee kasema kweli kabisa, Chelsea ina wachezaji wabinafsi sana, Willian ni mgumu kupasia wengine, Hazard mbwembwe sana afadhali Pedro kidogo. Sarri anataka mfumo wa ujamaa na kujitegemeaSarri says Hazard & wingers can do more:"He can do more tactically, at the moment it is not easy for our strikers to play in this team. We have a lot of individual players like Hazard, Willian and Pedro. It is not easy for the striker to make the right movement in the right time"
Kama kuna serious issue, kumuadress mchezaji ni hatari Zaidi ya kumfukuza kocha. ukiwaguza tu wachezaji ndio umeharibu. Kumbuka mpaka waboronge ina maana walipatana. na ukimgusa mmoja hasa kiranja mkuu utakiona cha mtema kuni.We have to stop sacking the manager all the time. These players, some of them, has been here a long time. Its time to adress the squad rather than the manager.