Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Huyu kijana fanyeni jitihada za kujua whereabouts zake hakawii kuwa alimeshajinywea sumu kwenye ghetto lake watu hatujui.
Aiseeeeeeee huyo jamaaa na Tambo hatareeee, kapotea KABISA masaa 20+ sasaHuyu kijana fanyeni jitihada za kujua whereabouts zake hakawii kuwa alimeshajinywea sumu kwenye ghetto lake watu hatujui.
Hyu nae hamna kitu ugonjwa tu mwanamke gan anaweza ksajili mchezaji mzurMarina Granovskaia will be ‘very busy’ today (@SkyKaveh)
Jamaa anapeleka silaha kwa majirani.....Official : Michy Batshuayi to Crystal Palace #CFC #LoanArmy