Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
HahahahahahahahahahahahahahahahaMgomo wa kumtoa kocha umeanza
Hakuna kocha aliyemsema vibaya Hazard kwenye vyombo vya habari akabaki salama
Kitendo cha Sarri kumuita Hazard mbinafsi Zaidi ya kiongozi ndio tiketi yake ya kurudi Italy kwenye ile kazi yake ya Banker
Kaiharibu Chelsea ile ya attacking football kuwa Chelsea ya kukimbia kimbia uwanjani
Tena unawaita Kikundi hiki ni ngumu kuhamasisha kwa lugha ya mama yake
BYE BYE Sarri
Kaiharibu Chelsea ile ya attacking football kuwa Chelsea ya kukimbia kimbia uwanjani
Hahaha wameshikishwa [emoji1787][emoji1787]
Ndio utoe hiyo avatar sasa.
hao jamaa uliowataja kama wangeshinda kule kwetu pasingetoshaOllachuga Oc eden kimario kalou Southern Highland
Hata mkijificha matokeo yapo hadharani hayajajificha.
Wanateseka sana maana walijua Higuain ndio mkombozi kumbe wamepigwa changa la macho sio Higuain ni Morata kafanyiwa make up kafanana na Higuain