Na Conte alifeli Kwa sababu ya kuwadespise Luiz na CostaAise atakuwa ametisha sana maana amekuwa CB muhimu sana kwa sasa.
Conte alifanya tuamini kuwa jamaa hajui, amechoka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo mkuu ndio limechangia kadrop kiwango kidogoSakata la kumtoa Juve ili ampishe CR7 nafikiri kama unavyosema hakuipenda hiyo move
Drink water hajawekwa hata benchiDuu hatimaye drinkwater kapatikana leo
kama man xity akifungwa mimi naolewaMumepata jembe goal scorer higuain. Hongereni sana wazee. Tarajieni magori mengi kutoka kwake
kama man xity akifungwa mimi naolewa